Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
- Thread starter
-
- #121
Haina noma, wata kuwekea usijali. Na wakuchezee kabisa ili usi hangaike ehh?Waniwekee ngoma kali ya suwiiiiiiiiti melodiiiii
Mimi siyo kataa ndoa πSelikavu, Razorblade Dua zenu muhimu sana π π
Uzi mbona sio wa kataa ndoa ππ€£Mimi siyo kataa ndoa π
Selikavu, Razorblade Dua zenu muhimu sana π π
Umekaa kimkakati huu, unanukia harufu ya kataa ndoa πUzi mbona sio wa kataa ndoa ππ€£
Dah kaka acha u kunguru aiseeππ€£
tuishi nao hivyo hivyo, ule mwingine upeni pumziko π€£πUmekaa kimkakati huu, unanukia harufu ya kataa ndoa π
ππππSiku hizi adui anaombewa ndoa sio njaa tena π€£π€£
secretarybird anayoπNipe namba yake.
Tuzurulishe tu kwenye nyuzi zote, sisi hatuna baya πtuishi nao hivyo hivyo, ule mwingine upeni pumziko π€£π
Kumekucha πnajua haiwahusu ilaπ
View attachment 3360041
Dah we Jamaa π€£πnajua haiwahusu ilaπ
View attachment 3360041
Kulala sio dhambi kijana π€£Tuzurulishe tu kwenye nyuzi zote, sisi hatuna baya π
πππsecretarybird anayoπ
Kwani ndoa ni mbaya?? Mimi na miaka mingi nipo kwenye ndoa na tuna prosperity Mimi na wife na familia tote kwa jumla.Sio demu, huyu ni competitor wangu kwenye biashara fulani, sasa kaamua kufunga ndoa.
Rip in advance kudadadeki.
Ndege unasemaje juu ya hii mada? Kuoa ni kubaya?πππ