Nimeacha kazi: Nianzie wapi kwenye biashara?

sijaona aliyekupa wazo ZURI zaidi ya kukupongeza kuacha kazi .
Hata mimi nakupongeza kwa kuacha kazi.
 
😆😆😆😆
 
Nimesoma mpaka mwisho mkuu.
Uchambuzi mkuu,uchambuzi yakinifu.
Hongera.
Mimi naongezea tu ,maji ukiyavulia nguo lazima uyaoge, maisha hayataki uoga japo unakini wa hali ya juu unahitajika kuyaendea.
 
Nimesoma mpaka mwisho mkuu.
Uchambuzi mkuu,uchambuzi yakinifu.
Hongera.
Mimi naongezea tu ,maji ukiyavulia nguo lazima uyaoge, maisha hayataki uoga japo unakini wa hali ya juu unahitajika kuyaendea.
Kabisa mkuu umakini muhimu maana ndio maisha yenyewe hayo
 
Huwa tunaacha kazi baada ya kupata kazi..Ulitakiwa kujipanga wakati upo kwenye Ajira. Hiyo pesa uliyonayo ukipita mwezi hujajua la kufanya utaisoma.
 
Wewe ndo wale Victim wa kuamini kwamba ukiacha kazi unakufa
Huwa tunaacha kazi baada ya kupata kazi..Ulitakiwa kujipanga wakati upo kwenye Ajira. Hiyo pesa uliyonayo ukipita mwezi hujajua la kufanya utaisoma.
 
WEWE LEO UMETOA USHAURI WA MAANA SANA TANGU UZALIWE!!!
 
WEWE ACHA KUMPA LAWAMA,
MPE MWONGOZO!!!

EEEEBOH!!!
 
Rudi kwa boss omba kuendelea na kazi... Awamu ngumu hii, asikwambie mtu.. Sisi tunaofanya biashara tunatamani kupata ajira hata ya laki tatu
HILI WAZO NI LA KINDEZI,

NA KAMWE USIJARIBU KULIELEKEA-
KAMWE!!!
 
tena kiuhalisia yeye analipwa kiasi kikubwa kwa kuwa yeye hana makato ya Bodi ya Mkopo
Sawa, kumbe mlikuwa mnafanana mishahara ila wewe unadeni
Kilichoniuma mimi ni kwamba nina Stashahada Ya Uhandisi Pamoja na Shahada ya Uhandisi alafu bado nalipwa sawa sawa na mtu mwenye cheti cha Veta
Kwanza omba radhi kwa kuona mamlaka ya mafunzo ya ufundi stadi ni kitu cha kawaida sana kuliko hicho ki degree chako, wahitimu wengi wa shahada mnanjaa sana huko mitaani kwakua mnahusudu makaratasi mnayopewa kama vyeti wakati ujuzi wenu ni mdogo sana kuliko hata mhitimu wa grade one ya mechanics pale veta
 
Nimesoma mpaka mwisho mkuu.
Uchambuzi mkuu,uchambuzi yakinifu.
Hongera.
Mimi naongezea tu ,maji ukiyavulia nguo lazima uyaoge, maisha hayataki uoga japo unakini wa hali ya juu unahitajika kuyaendea.
Atawakumbuka sana! Huu ushauri
 
Ushauri wangu utakufaa zaidi endapo utahamia/ kuishi dar es salaam

Kuwa dalali wa kuwanunulia watu mizigo kariakoo na kuwatumia mikoani

Nilifanya wakati niko chuo kwakweli nilikuwa sikosi elfu 50 mpaka70 minimum mtu akiniagiza mzigo mkubwa.
Hiyo ni per day

Nilikuwa naweza kufunga mzigo mara mbili au tatu kwa wiki. Unaweza kufanya zaidi kutegemea na muda wako na Circle ya wafanyabiashara unaowafahamu/wanaokuamini mikoani.

Kwakuwa nilikuwa nasoma na sikuwa napata nafasi ya kuzunguka sana kkoo muda wote,
nafanya hivi

Mfano mteja ameniaza urembo, nakwenda duka la urembo kkoo nauliza bei ya bidhaa zote natembelea maduka kadhaa kulinganisha bei, baada ya hapo nampa bei mhusika anatuma pesa
Natengeneza mazoea na mfanyakazi wa duka moja nachukua namba za simu halafu narudi chuo

Baada ya muda wa kazi mampigia nampanga nampa hata elfu 25 kutegemea na ugumu wa mhusika, nambembeleeeza ananionyesha chimbo wanapochukua bidhaa wao (wakati huo maduka yamefungwa)

Akishanionyesha mimi keshoyake straight naenda kwenye hilo duka au stoo nanunua mzigo natuma kwa bei nzuri zaidi nabaki na faida nzuri na mwenye mzigo ananipa pesa kidogo ya usumbufu.
 
Asingejipanga maana yake hata hiyo milioni mbili asingekuwa nayo. Anachoomba hapa ni wazo la biashara kwa mtaji wa milion mbili.
nkwel hajajipanga, linatakiwa lianze wazo la biashara. Then ndo ujue initial capital ya kuanzia ni kiasi gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…