Nimeacha kazi rasmi, naenda kwenye umachinga

Nimeacha kazi rasmi, naenda kwenye umachinga

Omopa

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2022
Posts
335
Reaction score
1,466
Tarehe ya leo itabaki kwenye kumbukumbu zangu kuwa tarehe ya mwisho kuwepo kazini. Aisee, baada ya kuchoka na uvivu uliokithiri leo natangaza rasmi kuacha kazi wakuu.

Kwasasa nitakuwa napatikana Mbezi Mwisho stendi ya Magufuli kama machinga mdogo tu wa earphones, redio na vitu vingine vidogo vidogo wakuu!

Karibuni
 
hiyo kazi uliyoacha ingekua vizuri kama ungemuunganisha mtu mwingine ili kusudi gap lako lisionekane.....mambo ni mengi na muda ni mchache sana
 
TRA 1.5m monthly
 
ahsante sana kwa kutuletea ushahidi.
 
JF inakumbukumbu[emoji1787]
 
[emoji478][emoji478][emoji478][emoji478][emoji478][emoji478][emoji261][emoji261][emoji261]
FB_IMG_1689244373343.jpg


Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom