TRA 1.5m monthly
net profit?TRA 1.5m monthly
ahsante sana kwa kutuletea ushahidi.Nimechoka kuwa pusha
Kiukweli upusha sio poa asikuambie mtu mimi na huu urembo wangu kazi insyoniweka mjini hapa ni upusha aisee sio poa japo unapata pesa za kutosha lakini unaishi kwa mashaka tu. Kiukweli nyie vijana acheni upusha sio poa jana kuna mwana amepigwa mvua ya miaka thelathini baada ya kukutwa na...www.jamiiforums.com
JF inakumbukumbu[emoji1787]Nimechoka kuwa pusha
Kiukweli upusha sio poa asikuambie mtu mimi na huu urembo wangu kazi insyoniweka mjini hapa ni upusha aisee sio poa japo unapata pesa za kutosha lakini unaishi kwa mashaka tu. Kiukweli nyie vijana acheni upusha sio poa jana kuna mwana amepigwa mvua ya miaka thelathini baada ya kukutwa na...www.jamiiforums.com
Mpe mtonyo akachukue ajira uliyoitoroka🚶Mbona kama unaonekana machinga...
Hujawahi ajiriwa...
SAWA TUNAKUTAKIA BIASHARA NJEMAExactly
Hahaaa...!! We jamaa unaweza kuwa Mtabiri mzuri..Mbona kama unaonekana machinga...
Hujawahi ajiriwa...