Nimeacha kudharau wanaosoma vyuo tofauti na UDSM

Nimeacha kudharau wanaosoma vyuo tofauti na UDSM

Tafuteni post zote za Perry tokea ajiunge mwaka juzi akisaka chuo na kulilia maksi zake.. Utagundua ana kale ka kujiona.. " after a game of chess; the king and the pawn go into the same box "
 
Last edited by a moderator:
kwa kawaida udsm inakua inachukua wanafunzi wachache sana lakini nimeona mara kuna wanafunzi kibao watachukuliwa kwa kila corse, sasa tusubiri matokeo yake yatakuwaje baada ya miaka 4
 
Kwa kweli, nilikua nadharau sana watu ambao hawasomi au hawajasoma UDSM ila ulikua ni utoto tu, sasa imetokea nimeenda kufanya field practical pale TRA makao makuu, ebana nimekutana na vijana wanasoma kachuo flani kadogo tu kanaitwa ITA {Institute of tax administration} hata cjui kako wapi kwa hapa Dar, vijana wako vizuri sana katika masuala ya kodi, na TRA wanaonekana kuwakubali sana, kuna vijana wana diploma tu lakini mkwanja wanaovuta ni balaa.

Ninachotaka kuwashauri wadogo zangu ni hvi,usikimbilie kusoma udsm au chuo kingne chenye jina hapa bongo likozi la ajabu ili tu nawe uonekane eti unasoma udsm au chuo flan maarufu.kozi za udsm ni zle zle kama zinazotolewa na vyuo vingne hvo ushndani ni mkubwa sana katka soko la ajira,angalieni kozi ambazo zina channel za moja kwa moja katika ajira..

sasa we kimbilia bcom,bba,baf na zingne za aina hyo then uje usugue soli mtaani mpaka ufurahi.

ofcoz nimemaliza field...........site kigamboni nilikuwa na wanafunzi from D.I.T, MUST..........wako fresh nao..............same to you Perry
 
Last edited by a moderator:
Mimi natoka zangu TEOFILO KISANJI nyie wa UDSM shauri yenuuuu mi nasepa sasa
 
karibu open university
 
wanafunzi wengi(sio wote) wa udsm wanakariri tu vitini ili wafaulu mitihani yao ndio maana hawapo competent ukilinganisha na vyuo vingine tena vinavyochipukia. Mfano nilivyokuwa field mwaka wa pili kwenda wa tatu, nilipata field tanesco makao makuu kufanya field ya accounting. Sasa ndipo nilipogundua wanafunz wengi wa udsm ni shalloow. wao kaz yao ni kujisifu tu kuwa wamesoma udsm na zarau nyiingi. Ila kwenye kaz ni f na wavivu. Mkuu wa kitengo akiwauliza maswali ya kawaida tu ya accounts hawajui hata kidogo, wakibanwa sana wanasema eti hilo swal ni la koz ya mwaka wa kwanza so hawakumbuki, yaan ni full aibu. Ila wanafunz wa tia na ardhi wapo vizur aisee had raha ingawa mimi sijasoma ivyo vyuo.

Nakukumbusha tu wakati unaomba chuo uliweka UDSM first choice na kama hukufanya hivyo basi points zako za advance zilisumbua,
Naamini ulienda kusoma huko ulikosoma baada ya kukosa nafasi UDSM na kama sio hivyo basi hata ufaulu wako ulikua wa kusuasua kitu kilichopelekea mpaka leo useme ''sizitaki mbichi hizi''
 
OFCOZ NICE MOVE........ Perry
 
Last edited by a moderator:
Ahaha the Legendary Mpiga Msuli aka Advocate J. Furaha kuona umebadilika mkuu
 
Mtoa mada hongera kwa kuacha utoto. Degree za vyuo vikuu vyote zinatanbulika na tume ya vyuo vikuu. Kinachomata mtaani'how competent are you'?
 
Watanzania sisi watu wa ajabu sana, tunajivunia jina la chuo lakini ukimwita kwenye interview hadi unasikitika!! Unajiuliza kama kweli huyu mtu kagraduate???
 
Eti udsm huhuhuhuhuhu.... mie kuna mshikaji alipata zero xul kwetu advance tena zero mbaya lakini hadi sahiz navo andika hapa ni mwanafunzi wa udsm mwaka fulani na mkopo kapata asilimia 90... nw dayz bongo hakuna cha chuo fulani kinajina wala hiki hakina jina chuo ni chuo swala tcu wamekipitisha.... sahizi makazini waajir wana check uadilifu kazini,kujituma,uwezo binafsi,na mengine mengi mazuri na co chuo gani umesoma eti kwa vile umesoma udsm hata ukifilisi cmpnya wakuache kisa ww wa udsm nyoooooooooooo
Na kibaya zaidi kinacho wakumba vijana wa udsm na kusababisha wazunguke na bahasha miaka yote ni tabia ya kujikuta kuwa wao ni noma kumbe hamna kitu desturi hyo imejengeka hadi makazini kwao ndo mana wengi wana fukuzwa kazi kwa ajili ya kujikuta... na hii itazidi kuwa gharimu leo hadi kesho kuna watu walikuwa chuo fulani ambacho kina dharauliwa sana lakini walipo kuwa mwaka wa mwisho barua kutoka bank tatu tofaut na bank kubwa ziliwafuata chuoni kwao kuwa wakimaliza tu wana hitajika kazini sababu ni kuwa wakati wa field walifanya kazi kwa kujituma na walionesha uwezoooooooo
Sas ww kaa ubweteke sema mm wa udsm nitapata tu ajira.....nakuhakikishia matangazo ya kazu hayatoki yakisema sifa ya muombaji awe amesoma udsm cjui mzumbe cjui sua nyooooooooooo sema wengi wetu cc ni watoto ww maskini ndo mana tunavitaka hivyo vyuo coz of ada ni nafuuu lakini co hayo yenu eti ukisoma udsm we kazi huhangaiki na utapeta kitaaaaa uwiiiii
 
Ni ajabu kwa wasomi wanaotumia vitabu sawa na kujifunza kitu sawa kushindana juu ya mahali gani wamesoma. Location of where you read the book is immaterial whether in UDSM or elsewhere, its the content that counts, were u keen enough to grasp the concept or not?!, i once met a young man studied IT but working as a marketing agent for construction firm and men! He is good in it ! His secret was to read alot of business related books not studying in UD nor elsewhere! The point is you might be from Havard if you empty you are empty ! Make big change with the given chance ,once its gone all u have will be an empty shell , big name worth nothing!
 
Mi nimesoma automobile engineering. Tuko wangapi hapa...tufufue uchumi wa tz?
 
pole sana Gpa ndo habari ya interviews hawakuangalii umesoma wapi so soma pale unahisi gpa itakuwa kubwa udsm udom mzumbe ni majina makubwa ufanisi sawa na vyuo vingine tu
 
Ahya mkuu lakini ukweli utasimama daima kuwa vyuo nchini ni UDSM MZUMBE SUA na ARDHI hivyo vingine vyote ni asante Jakaya.

Wewe dogo hata first year hujaanza unapiga kelele hapa.

Embu subiri kuanzia 2017 ndio upige kelele humu.
 
Back
Top Bottom