ChescoMatunda
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,232
- 442
Wakuu mtakufa kwa roho zenu mbaya subirini hadi mwezi 5 Man U itakuwa imekaa katika nafasi yake stahiki ha ha ha ha.Arsenal na Liverpool zimetangulia na baskeli ya mbao wakifika kwenye mlima.........
Wakuu mtakufa kwa roho zenu mbaya subirini hadi mwezi 5 Man U itakuwa imekaa katika nafasi yake stahiki ha ha ha ha.Arsenal na Liverpool zimetangulia na baskeli ya mbao wakifika kwenye mlima.........
Duh wanazi wa Mr Bean kukaa hapo kileleni mnadhani ndiyo kuchukua kombe ha ha ha ha ha.
Sawa sun wu lakini nimeshahama hivyo.
Duh hadi rahaaaaaaaaaa.
Copy Wacha1 Viper Mbu ChescoMatunda
Wanasajili mpaka marefa na bado Arsenal kwa ujinga wenu mnaangalia tu, kweli mtoa mada ana haki ya kuhama na kuhamia kwa wajanja.Nilifikiri unaizungumzia Arsenal, kumbe unaizungumzia Marefa United. Hata mimi najua ina mafanikio sana, ndio klabu pekee yenye kusajili wachezaji na marefa pia.
Kuhusu Arsenal kutochukua vikombe miaka mingi, utakuwa unaumwa wazimu.
Chelsea walisubiri miaka 40
Manchester City miaka 35
Je washabiki wao wamekufa na hayo magonjwa?
Je ni Arsenal peke yake ndio haichukui? Vipi kuhusu West Ham, Everton n.k?
babu wa kubebwa hayupo.jana alikuwa jukwaani twaja mkuu.Wewe kula kichapo utulie,babu wa kubebwa hayupo-mtaaalam wa kucheza na FA na marefa.u
Wanasajili mpaka marefa na bado Arsenal kwa ujinga wenu mnaangalia tu, kweli mtoa mada ana haki ya kuhama na kuhamia kwa wajanja.
Hahahaaaaa...Wenger kapakatwa, hapo ilikuwa bado au baada ya kushughulikiwa ipasavyo?mkuu upo?kitambo sana no see
Mkuu Ngongo mji uko kimyaaaaaaaaaaaaa heshima inaanza kurudi taratibu.
Wasifurahie kwanini, unafikiri ni mchezo kukaa hapo wakati miaka yote 8 wanaopigania nafasi ya nne tu!Duh wanazi wa Mr Bean kukaa hapo kileleni mnadhani ndiyo kuchukua kombe ha ha ha ha ha.
Mkuu Ngongo mji uko kimyaaaaaaaaaaaaa heshima inaanza kurudi taratibu.
Wewe ni "glory hunter". Na Watanzania wengi wako hivyo, mnashabikia timu inayofanya vizuri na si mapenzi ya timu kama timu. Unadhani watu wanotoka Highbury Street huko London wanaweza kushabikia timu tofauti??? Hamia Man U.
Btw: Mimi chama langu ni Norwich City tangu enzi hizo nchi hii hatujui TV ni nini! Kabla hujauliza niliwajulia wapi; Norwich City walitembelea Tanzania (but I don't remember the year) baba yangu alinipeleka kuwaona wakicheza na Yanga. I got hooked to them todate, washuke wapande nipo nao tu.
mkuu , losing to a team fighting for 5th place? haimuzi kichwa It happens, we underperformed but swe're top and frankly we've got much bigger fish to fry than Moyes' mere mortal misfits....