ChescoMatunda
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,232
- 442
Wakuu mtakufa kwa roho zenu mbaya subirini hadi mwezi 5 Man U itakuwa imekaa katika nafasi yake stahiki ha ha ha ha.Arsenal na Liverpool zimetangulia na baskeli ya mbao wakifika kwenye mlima.........
Unajiaandaa kurudi timu maana mpaka January man u wataijua epl WaPo Nafasi ya 12 kwa sasa..
