SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
Hii Ni Kali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihisho: Chelsea walisubiri kwa miaka 50 na Man City ni zaidi ya miaka 40.Nilifikiri unaizungumzia Arsenal, kumbe unaizungumzia Marefa United. Hata mimi najua ina mafanikio sana, ndio klabu pekee yenye kusajili wachezaji na marefa pia.
Kuhusu Arsenal kutochukua vikombe miaka mingi, utakuwa unaumwa wazimu.
Chelsea walisubiri miaka 40
Manchester City miaka 35
Je washabiki wao wamekufa na hayo magonjwa?
Je ni Arsenal peke yake ndio haichukui? Vipi kuhusu West Ham, Everton n.k?
Sahihisho: Chelsea walisubiri kwa miaka 50 na Man City ni zaidi ya miaka 40.
Nyongeza:
Wenger ndiye Kocha pekee aliyeweza kuchukua Ubingwa wa EPL pasipo kufungwa hata mchezo mmoja. Wenger ndiye Kocha wa pili kuchukua vikombe 6 vya FA. Hapa hata Ferguson hagusi.
Huyu ni Kocha ambaye kaisaidia Arsenal kupata mafanikio ya kujenga Uwanja wenye viwango bora kabisa duniani huku akihakikisha timu yake haikosi michuano ya Klabu Bingwa Ulaya kwa miaka zaidi ya 18! Hayo ni kwa uchache.
Ni shabiki mjinga pekee anayeweza kumponda Arsene Wenger. Kuna tofauti kati ya maamuzi ya Kocha na Sera za Klabu husika.
Mzee Wenger Ni mtu mmoja mpuuzi sana sijawahi kuona! Nikiwa nasoma kuna siku na miss kuiingia class kisa huyu mzee, kama una roho nyepesi unaweza ukazeeka ukiwa bado kijana!
Wewe nae Arsenal tu... HahaaaaWewe ni "glory hunter". Na Watanzania wengi wako hivyo, mnashabikia timu inayofanya vizuri na si mapenzi ya timu kama timu. Unadhani watu wanotoka Highbury Street huko London wanaweza kushabikia timu tofauti??? Hamia Man U.
Btw: Mimi chama langu ni Norwich City tangu enzi hizo nchi hii hatujui TV ni nini! Kabla hujauliza niliwajulia wapi; Norwich City walitembelea Tanzania (but I don't remember the year) baba yangu alinipeleka kuwaona wakicheza na Yanga. I got hooked to them todate, washuke wapande nipo nao tu.
Wakati Wenger anasingizia uwanja kutonunua wachezaji, West Ham wamepata uwanja wa Olympic, Man City wamepata uwanja uliotumika commonwealth games. Ni kujipanga tu wala haihitaji mtu kuwa special kwa timu hizi kubwa kuwa na uwanja.Sahihisho: Chelsea walisubiri kwa miaka 50 na Man City ni zaidi ya miaka 40.
Nyongeza:
Wenger ndiye Kocha pekee aliyeweza kuchukua Ubingwa wa EPL pasipo kufungwa hata mchezo mmoja. Wenger ndiye Kocha wa pili kuchukua vikombe 6 vya FA. Hapa hata Ferguson hagusi.
Huyu ni Kocha ambaye kaisaidia Arsenal kupata mafanikio ya kujenga Uwanja wenye viwango bora kabisa duniani huku akihakikisha timu yake haikosi michuano ya Klabu Bingwa Ulaya kwa miaka zaidi ya 18! Hayo ni kwa uchache.
Ni shabiki mjinga pekee anayeweza kumponda Arsene Wenger. Kuna tofauti kati ya maamuzi ya Kocha na Sera za Klabu husika.
Wakati Wenger anasingizia uwanja kutonunua wachezaji, West Ham wamepata uwanja wa Olympic, Man City wamepata uwanja uliotumika commonwealth games. Ni kujipanga tu wala haihitaji mtu kuwa special kwa timu hizi kubwa kuwa na uwanja.
Hadi leo bado unaongelea kushiriki champions league? Timu kubwa zinashindana nani kachukua mara nyingi, nyinyi bado mnashindana mmeshiriki mara ngapi? Typical Arsenal mentality.
Nina rafiki angu alihama toka Arsenal kwenda Man City miaka mitatu iliopita.
Hadi leo hajutii maamuzi yake.
Kwenye ushabiki wa mpira huhami timu
Huyo alikuwa shabiki maandazi
Hizo legacy weka pembeni, tunataka trophies!Sahihisho: Chelsea walisubiri kwa miaka 50 na Man City ni zaidi ya miaka 40.
Nyongeza:
Wenger ndiye Kocha pekee aliyeweza kuchukua Ubingwa wa EPL pasipo kufungwa hata mchezo mmoja. Wenger ndiye Kocha wa pili kuchukua vikombe 6 vya FA. Hapa hata Ferguson hagusi.
Huyu ni Kocha ambaye kaisaidia Arsenal kupata mafanikio ya kujenga Uwanja wenye viwango bora kabisa duniani huku akihakikisha timu yake haikosi michuano ya Klabu Bingwa Ulaya kwa miaka zaidi ya 18! Hayo ni kwa uchache.
Ni shabiki mjinga pekee anayeweza kumponda Arsene Wenger. Kuna tofauti kati ya maamuzi ya Kocha na Sera za Klabu husika.
Hizo legacy weka pembeni, tunataka trophies!