Nimeacha kuishabikia Arsenal

Nimeacha kuishabikia Arsenal

Hakunaga ligi ya UK, kuna ligi ya England (EPL). Hiyo ya UK ni ya kwako.
 
Wachezaji wengi wanaocheza Arsenal kwa sasa hawana sifa za kuchezea timu hiyo, Lengo la Stan na Usmanov ni pesa na si vikombe, matokeo Yake hata wachezaji hawana moyo wa kupambana. Angalia kujituma kwa wachezaji ni 0. Wachezaji kama Welbeck, Iwobi, Holding, na mwanamitindo wa Spain aliyesababisha penalt jana wanastahili kucheza Arsenal?
 
Haaaa haaaa jambo nililiona tangu mwaka 2013🙂
 
Mm nlishakubalianaga na hali halisi si niliipenda mwenyewe tufungwe tusifungwe mie kwang ahaaa sinaga taabu
 
Back
Top Bottom