Nimeacha Rasmi Kutazama Mechi za Yanga NBC PL

Nimeacha Rasmi Kutazama Mechi za Yanga NBC PL

Mkuu ungeangalia dhidi ya Faunteni geti, usingejutia maamuzi yako.
 
Mipango ya bench la ufundi
laZima uheshimu
Coach ndo anafanya nao mazoezi kambini ndo anajua fitness Yao na Nini walionyesha mazoezini
Kama Chikwu alifanya vyema kwenye uwanja wa mazoezi laZima apewe match na TRA bi akae bench
Hakuna mchezaji ana haki ya kukaa bench
Aki perform mazoezini anapewa game
Sawa Mkuu. Naheshimu utetezi wako.
 
Mimi naangaliaga ila akiingia Musonda na Kibabage tu naacha, naangalia bongo movi
 
Back
Top Bottom