Nimeacha rasmi kuweka status WhatsApp kwa sababu hii

Uko sahihi Mkuu,hata mimi nina wateja wangu Wahindi kama wanne hivi na wachina kadhaa.Ila sijawahi kuona wakiview au kuweka status hata siku moja.
 
Good but hata mzab angekufaa sana mna ufanano flan ameizing😂😂😂
Yeah ni kweli,tunafanana vingi but ndo haijawa Mkuu.Sitoacha kumpenda ni jfmate wangu
 
Binafsi nimejua kuhusu Status mwaka jana, pamoja na kutumia simu miaka yote nilikua sihangaikagi na Whatsapp status.
Hata leo siwekagi status ila huwa nasoma status za wengine.
 
Muhindi hapost sababu anauhakika ww wateja mmoja wewe
Wewe post kwa niaba yake ndo mgawanyo katika maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…