jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,645
- 4,438
Leo wachina wakiamua kujitangaza Watabeba mpaka wateja wako so wasap hawanahaja ya kutumia kwa matangazo usiwaige
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes.Kila mmoja ana maisha yake anaamua kuishi namna anavyotaka
You very right, kuna watu wanajikutaka speeeesho...eti s post status, utafikiri hata aki post atashtua dunia 😁 😁 😁Kujipa vifungo vya kijinga maisha ndio haya haya mafupi Sana jifunze kuishi
umenena mm mwenywe sianikagi maisha yangu.........Kazi iendelee. Wadau mimi ni mfanyabiashara, kwenye simu yangu ya mkononi nimetunza namba takribani 300.
Kati ya hizo Kuna wateja zangu, ndugu zangu, jamaa na marafiki na bila kusahau wadau wa unywaji na michepuko kadhaa.
Hapo kwenye wateja zangu Kuna aina tofauti za watu. Mosi, Kuna namba za mabosi zangu, wahindi na wachina ambao nanunua bidhaa kwao. Pia Kuna wateja zangu watanzania, watu wa daraja la kati na huku chini kabisa kwa wale waogopa tozo.
Sasa baada ya kuwa na namba zote hizo nimegundua kitu kimoja makini sana. Aisee sisi masikini ndio tunaangaika na kuweka mastatus ya maisha yetu na mahangaiko yetu kila uchwao. Huu ni mwaka mmoja sasa bado sijaona wale wachina au wale maafsa, wahindi, na baadhi ya watu kadhaa wenye uhakika wa kula muda wowote wakiweka mistatus hata kwa bahati mbaya.
Sasa hawa michepuko, na wadau wengine walala hoi waliobaki Sasa[emoji23][emoji23][emoji23] yaani ni kutwa mara tatu kama dose ya ukimwi. Utakuta status hata akiwa choo Cha public anapost.
Acha nimalizie kwa kusema watu werevu na matajiri wametuacha mbali kwa ustaarabu.... Nb Mapovu ruksa.
Endelea kuwa seriously na maisha usipost stutas kwa sababu huna muda mchaf, focus zako ni ku make money.... 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁Bila shaka jamaa umespeak bonge la point.,.,.kiukwel hii stutas muda mwingine unatuonyesha ni jinsi gan hayupo seriously na maisha yaan maisha ya stutas ni ni kufake life but mtu ambaye Yuko makin na maisha yake Hana muda mchaf kama kupoteza muda kujipost mara nying focus zao nyingi Huwa zinakuwa ni ku make money...japo kuwa wapo wale wanao tumia Whatsapp status kama sehem ya kuwaingizia vipato