Smart Contract
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,158
- 2,847
Afu kuna mijitu ikipost usipoangalia, mkikutana inakununia mpaka mwenyewe unajua, kwa mademu sawa ila midume ya hivyo naionaga ka mapunga vile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh 😅😅😅Soma tena.
Kilichonishtua ni shetani/satan ku like post yangu
WABONGO NI WATAALAMU WA KU-EDIT VITU VYA WATU..........Kazi iendelee. Wadau mimi ni mfanyabiashara, kwenye simu yangu ya mkononi nimetunza namba takribani 300.
Kati ya hizo Kuna wateja zangu, ndugu zangu, jamaa na marafiki na bila kusahau wadau wa unywaji na michepuko kadhaa.
Hapo kwenye wateja zangu Kuna aina tofauti za watu. Mosi, Kuna namba za mabosi zangu, wahindi na wachina ambao nanunua bidhaa kwao. Pia Kuna wateja zangu watanzania, watu wa daraja la kati na huku chini kabisa kwa wale waogopa tozo.
Sasa baada ya kuwa na namba zote hizo nimegundua kitu kimoja makini sana. Aisee sisi masikini ndio tunaangaika na kuweka mastatus ya maisha yetu na mahangaiko yetu kila uchwao. Huu ni mwaka mmoja sasa bado sijaona wale wachina au wale maafsa, wahindi, na baadhi ya watu kadhaa wenye uhakika wa kula muda wowote wakiweka mistatus hata kwa bahati mbaya.
Sasa hawa michepuko, na wadau wengine walala hoi waliobaki Sasa😂😂😂 yaani ni kutwa mara tatu kama dose ya ukimwi. Utakuta status hata akiwa choo Cha public anapost.
Acha nimalizie kwa kusema watu welevu na matajiri wametuacha mbali kwa ustaarabu.... Nb Mapovu ruksa.
Hahaha aiseeBody builder wengi wanainamishwa,so shombo ni kawaida Yao.
.........Kazi iendelee. Wadau mimi ni mfanyabiashara, kwenye simu yangu ya mkononi nimetunza namba takribani 300.

Acha nimalizie kwa kusema watu werevu na matajiri wametuacha mbali kwa ustaarabu.... Nb Mapovu ruksa.