Nimeacha rasmi kuweka status WhatsApp kwa sababu hii

Leo wachina wakiamua kujitangaza Watabeba mpaka wateja wako so wasap hawanahaja ya kutumia kwa matangazo usiwaige
 
Kwa sababu tuu ni status ya whatsup? Je huko instagram ni uzungu? Yani unajiminya kupost status whatsup kwny watu wachache then unajiachia instagram kwny kadamnasi?
 

mtu useme hujawahi ona tajiri anapost status wakati una namba za watu wa kawaida kama wewe[emoji16][emoji16][emoji16].

shida ya watu matajiri na mashuhuri namba zao ni private jaman,hata ukisevu kama hajakusevu haiingii ukipiga ktk simu yake,sasa bado huko whatsapp unakuta mtu bado kaopt contact only ndio waone status zake[emoji23]mike utamwonea wapi???

haya bana kama umeamua kutoweka status ili utoboe.
 
Usichokijua ni kwamba hao maboss wana namba zao za ku socialize na ndugu jamaa na marafiki.....Mimi binafsi nina namba nyingi tu za matajiri wanaweka status na maisha mengine ya kawaida........hayo mambo hayahusiani na utajiri au umasikini wa mtu bali ni hulka ya mtu tu........
 
Inavyoonekana Nina nyota ya kitajiri
Maana sionagi cha maana kuweka hizo status
 
Bila shaka jamaa umespeak bonge la point.,.,.kiukwel hii stutas muda mwingine unatuonyesha ni jinsi gan hayupo seriously na maisha yaan maisha ya stutas ni ni kufake life but mtu ambaye Yuko makin na maisha yake Hana muda mchaf kama kupoteza muda kujipost mara nying focus zao nyingi Huwa zinakuwa ni ku make money...japo kuwa wapo wale wanao tumia Whatsapp status kama sehem ya kuwaingizia vipato
 
Kujipa vifungo vya kijinga maisha ndio haya haya mafupi Sana jifunze kuishi
You very right, kuna watu wanajikutaka speeeesho...eti s post status, utafikiri hata aki post atashtua dunia 😁 😁 😁
 
umenena mm mwenywe sianikagi maisha yangu
 
Endelea kuwa seriously na maisha usipost stutas kwa sababu huna muda mchaf, focus zako ni ku make money.... 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁
 
Masikin bhana utasikia et "moro to dar mniombee[emoji590]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…