Nimeachana na mpenzi wangu niliyedumu naye miaka 4

Nimeachana na mpenzi wangu niliyedumu naye miaka 4

Ritchy Breezy

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2020
Posts
479
Reaction score
727
Nimevunja uhusiano wangu uliodum kwa miaka mi4 na mchumba angu tuliyekuwa tunaishi pamoja.katka miaka yote mi4 hatukuwai kubahatika kukaa pamoja zaidi tuliekuwa tunakutana mara2 au 3 kwa mwaka na tulivyokua tunakutana tulikua tunaspend one night only,tuliishi kwa kuwasliana sana siku zote. imefikia stage mwenzangu kamaliza chuo ndipo tukapanga kuja gheto kwangu tuishi akiwa anatafuta kazi

Picha limeanza...manzi nlianza kugundua ni JEURI kinyama.. si hivyo ila pia mjuaji,feminist na kauli mbovu...mambo yalotufanya tugombane mara kwa mara ilfikia stage ugomvi ulkua mkubwa hatua ambacho ilinifanya nishindwe kufkria masomo zaidi nkawa nafkria tu yanayotokea gheto mwisho nliamwambia aende nyumbani japo haikua kazi ndogo nlifankiwa hilo akawa ameondoka ...alivyokaa kwao ka wiki 2 akaniomba tn aje kwangu afuatlie mambo fulani flani yakitiki ataondka coz nlikua nampenda nlikubali nkijua pia pengne amebadlk....ajabu alipokaaa siku kadhaa tabia zake za zamani zkaanza kurudi moja baada ya nyingne nlimuelekeza sana ikafkia stage makofi yakamhusu tumetibuana sana mwisho nkaamua tn aende kwao na nkamweleza mimi na yeye tumefika tamati (NB.KWAO SJULIKANI)
Ni siku 3 sasa zimepita maumivu yanakuja yanapotea.

Kinachonishangaza mawasiliano bdo hayajakatika kabsa japo yamepungua kwa 83%...
Manzi nampenda ila nmeamua tu kumove on nigange yaliyo mbele yangu(masomo).ila hii ya kunitafuta tafuta bado sielew..
Hii kitaalamu inaitwaje?

Kama ushawai tokewa na hii hali inayotokea kwangu
Je...at the end mahusiano yalizima kama mshumaa au yaliwaka ka atomic bomb...
sababu sielew elewi
NB.2...MIMI NDO NLIMTOA BIKRA MAZEE🙈🙈🙅‍♂️
 
Yaonekana unampenda Sana, na sababu za kuzinguana ni previously undetected behavior being now detected,
Furahia kujua tabia zake zilizojificha, zizoee, rekebishaneni, endeleeni.
Sijaona sababu ya kuushinda upendo hapo ule uletea Raha ya urafiki wa uvulanani/usichanani (ingawa kwa wengi wameshindwa kufika nao malengoni, Ila ukifanikiwa ni mtamu Sana).
Zipo sababu zenye nguvu kama kupasuka kwa jabali, na sauti kubwa Kama baragumu, hapo mawe huvunjika na vipande vipande huruka na kuumiza, hiyo itafanana na kusema kweli unampenda, lakini acha tu aende, hakuwa wako.
Ukijitutumua utaishia.
 
Kumove on ni kwa wazungu tusie akina kababaye tuendelee tu kupashana viporo
 
Pole sana mkuu,,kama umedhamiria kuachana naye we achana nae,,hii kupasha viporo atakuja kukutegeshea mimba alaf tabu utakayoipata hutokaa usahau.
 
Pole sana mkuu,,kama umedhamiria kuachana naye we achana nae,,hii kupasha viporo atakuja kukutegeshea mimba alaf tabu utakayoipata hutokaa usahau.
Swala kupasha kiporo naliona kabsa coz ashaniambia lazma anizalie mtoto no matter what
 
Back
Top Bottom