Nimeachana na mpenzi wangu niliyedumu naye miaka 4

Hukutoa bikra labda Birika.

Ukiona umemtoa bikra mwanamke alafu akakuzingua ujue shida kubwa ni wewe.

Kama umeshindwa mwanamke bikra sidhani kama kuna mwanamke utakayemuweza.

Ni sawa na mtu aliyeshindwa kula ini, sijuii kama kuna nyama nyingine ataiweza
 
Yaani wewe mtoa maada ni zezeta au zoba kwa ufupi hauna maamuzi kichwani lakini unaamua kwa kutumia makalio
 
Nimevunja uhusiano wangu uliodum kwa miaka mi4 na mchumba angu tuliekuwa tunaishi pamoja.katka miaka yote mi4 hatukuwai kubahatika kukaa pamoja zaidi tuliekuwa tunakutana mara2 au 3 kwa mwaka na tulivyokua tunakutana tulikua tunaspend one night only,tuliishi kwa kuwasliana sana siku zote. imefikia stage mwenzangu kamaliza chuo ndipo tukapanga kuja gheto kwangu tuishi akiwa anatafuta kazi

Picha limeanza...manzi nlianza kugundua ni JEURI kinyama.. si hivyo ila pia mjuaji,feminist na kauli mbovu...mambo yalotufanya tugombane mara kwa mara ilfikia stage ugomvi ulkua mkubwa hatua ambacho ilinifanya nishindwe kufkria masomo zaidi nkawa nafkria tu yanayotokea gheto mwisho nliamwambia aende nyumbani japo haikua kazi ndogo nlifankiwa hilo akawa ameondoka ...alivyokaa kwao ka wiki 2 akaniomba tn aje kwangu afuatlie mambo fulani flani yakitiki ataondka coz nlikua nampenda nlikubali nkijua pia pengne amebadlk....ajabu alipokaaa siku kadhaa tabia zake za zamani zkaanza kurudi moja baada ya nyingne nlimuelekeza sana ikafkia stage makofi yakamhusu tumetibuana sana mwisho nkaamua tn aende kwao na nkamweleza mimi na yeye tumefika tamati (NB.KWAO SJULIKANI)
Ni siku 3 sasa zimepita maumivu yanakuja yanapotea.

Kinachonishangaza mawasiliano bdo hayajakatika kabsa japo yamepungua kwa 83%...
Manzi nampenda ila nmeamua tu kumove on nigange yaliyo mbele yangu(masomo).ila hii ya kunitafuta tafuta bado sielew..
Hii kitaalamu inaitwaje?

Kama ushawai tokewa na hii hali inayotokea kwangu
Je...at the end mahusiano yalizima kama mshumaa au yaliwaka ka atomic bomb...
sababu sielew elewi
NB.2...MIMI NDO NLIMTOA BIKRA MAZEE[emoji85][emoji85][emoji2285]

Pole
 
Kama umeamua kumtema usigeuke nyuma mkuu hakuna mbili Kwenye moja yani, huyo mmeshindwana tayari

Piga msuli tafuta GPA yako kali maisha yaendelee, Jasiri ataumaliza mwendo
 
𝔸𝕔𝕙𝕒𝕟𝕒 𝕟𝕒𝕖 ....𝕕𝕖𝕞𝕦 𝕒𝕞𝕓𝕒𝕖. ℍ𝕒𝕨𝕖𝕫𝕚 𝕛𝕚𝕤𝕙𝕦𝕤𝕙𝕒 ....𝕒𝕜𝕒 𝕗𝕖𝕞𝕚𝕟𝕚𝕤𝕥 ....ℂ𝕀𝕆 𝕨𝕒 𝕜𝕦𝕠𝕒
 
Nimevunja uhusiano wangu uliodum kwa miaka mi4 na mchumba angu tuliekuwa tunaishi pamoja.katka miaka yote mi4 hatukuwai kubahatika kukaa pamoja zaidi tuliekuwa tunakutana mara2 au 3 kwa mwaka na tulivyokua tunakutana tulikua tunaspend one night only,tuliishi kwa kuwasliana sana siku zote. imefikia stage mwenzangu kamaliza chuo ndipo tukapanga kuja gheto kwangu tuishi akiwa anatafuta kazi

Picha limeanza...manzi nlianza kugundua ni JEURI kinyama.. si hivyo ila pia mjuaji,feminist na kauli mbovu...mambo yalotufanya tugombane mara kwa mara ilfikia stage ugomvi ulkua mkubwa hatua ambacho ilinifanya nishindwe kufkria masomo zaidi nkawa nafkria tu yanayotokea gheto mwisho nliamwambia aende nyumbani japo haikua kazi ndogo nlifankiwa hilo akawa ameondoka ...alivyokaa kwao ka wiki 2 akaniomba tn aje kwangu afuatlie mambo fulani flani yakitiki ataondka coz nlikua nampenda nlikubali nkijua pia pengne amebadlk....ajabu alipokaaa siku kadhaa tabia zake za zamani zkaanza kurudi moja baada ya nyingne nlimuelekeza sana ikafkia stage makofi yakamhusu tumetibuana sana mwisho nkaamua tn aende kwao na nkamweleza mimi na yeye tumefika tamati (NB.KWAO SJULIKANI)
Ni siku 3 sasa zimepita maumivu yanakuja yanapotea.

Kinachonishangaza mawasiliano bdo hayajakatika kabsa japo yamepungua kwa 83%...
Manzi nampenda ila nmeamua tu kumove on nigange yaliyo mbele yangu(masomo).ila hii ya kunitafuta tafuta bado sielew..
Hii kitaalamu inaitwaje?

Kama ushawai tokewa na hii hali inayotokea kwangu
Je...at the end mahusiano yalizima kama mshumaa au yaliwaka ka atomic bomb...
sababu sielew elewi
NB.2...MIMI NDO NLIMTOA BIKRA MAZEE[emoji85][emoji85][emoji2285]

Ukiona mwanamke anakuletea mapicha picha ujue kwamba haumsugui vizuli kitandani mpka k inakuwa ya moto hapo ndipo unapokoseaa

Kwa kifupi ukipata nafasi ya kula mzigo basi hakikisha unakula mzigo mpka k yake inakuwa ya moto kweli kweli nakuhakikishia huyo mwanamke atakuheshimu
 
Nimevunja uhusiano wangu uliodum kwa miaka mi4 na mchumba angu tuliyekuwa tunaishi pamoja.katka miaka yote mi4 hatukuwai kubahatika kukaa pamoja zaidi tuliekuwa tunakutana mara2 au 3 kwa mwaka na tulivyokua tunakutana tulikua tunaspend one night only,tuliishi kwa kuwasliana sana siku zote. imefikia stage mwenzangu kamaliza chuo ndipo tukapanga kuja gheto kwangu tuishi akiwa anatafuta kazi

Picha limeanza...manzi nlianza kugundua ni JEURI kinyama.. si hivyo ila pia mjuaji,feminist na kauli mbovu...mambo yalotufanya tugombane mara kwa mara ilfikia stage ugomvi ulkua mkubwa hatua ambacho ilinifanya nishindwe kufkria masomo zaidi nkawa nafkria tu yanayotokea gheto mwisho nliamwambia aende nyumbani japo haikua kazi ndogo nlifankiwa hilo akawa ameondoka ...alivyokaa kwao ka wiki 2 akaniomba tn aje kwangu afuatlie mambo fulani flani yakitiki ataondka coz nlikua nampenda nlikubali nkijua pia pengne amebadlk....ajabu alipokaaa siku kadhaa tabia zake za zamani zkaanza kurudi moja baada ya nyingne nlimuelekeza sana ikafkia stage makofi yakamhusu tumetibuana sana mwisho nkaamua tn aende kwao na nkamweleza mimi na yeye tumefika tamati (NB.KWAO SJULIKANI)
Ni siku 3 sasa zimepita maumivu yanakuja yanapotea.

Kinachonishangaza mawasiliano bdo hayajakatika kabsa japo yamepungua kwa 83%...
Manzi nampenda ila nmeamua tu kumove on nigange yaliyo mbele yangu(masomo).ila hii ya kunitafuta tafuta bado sielew..
Hii kitaalamu inaitwaje?

Kama ushawai tokewa na hii hali inayotokea kwangu
Je...at the end mahusiano yalizima kama mshumaa au yaliwaka ka atomic bomb...
sababu sielew elewi
NB.2...MIMI NDO NLIMTOA BIKRA MAZEE🙈🙈🙅‍♂️
 
Back
Top Bottom