Nimeachana na mpenzi wangu niliyedumu naye miaka 4

Wanaosemaga Tuoe kabla ya Kuishi na mwanamke huwaga wanajua kabisaa Lazima YATAKUSHINDAAA lakini kama ukimuoa yakikushinda itabdi ukomae nayooo.. Kitu ambacho ni ukweli 100% ni kuwa Tabia ya Mwanamke kabla hujamuoa au hujaanza kuishi nae nyumba moja ni Tofauti Kabisaa na ilw baada ya kuanza kuishi nae. Jeuri..matusi na tabia nyingi za ovyoo huja baada ya kumuweka ndani! Pole sana kwa sasa Komaa na masomo mkuu achana nae lakini hata ukija kuoa yakupasa kulijua hilo.
 
Yeah nilipo detect tabia zake roho na akili zimechoka kabisa
 
Iko wazi..but hili ni funzo kwangu pia imekua ka field kwangu kuhusi kuish na mwanamke so poa haijalishi mnapendana kiasi gn..
Hawa viumbe akili zao wanazjua wnyew tu...
 
Utoto raha sana ati " maumivu yanakuja yanapotea" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndo hali halisi ani nkikaa nkikumbuka moment roho inauma ila kjkeep busy najikuta nipo normal as nothn happened...then pengne inakua hivyo coz muda nachukuaa maamuzi skuwa na hasira ila nlifkria sana then nkaamua
 
Hopo "feminist" huyo si wife material. Ndio akina joyce kiria hao.. ujuaji.. mdomo merefu.. wanataka mamlaka sawa. Ukishaona hizo dalili run
 
Utoto raha sana ati " maumivu yanakuja yanapotea" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amenikumbusha enzi hizo. Unaweza mlilia baby mama.. https://jamii.app/JFUserGuide man.. mapenz kitu kingine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo mwanamke ni mchaga au mkurya?maana ndiyo makabila yenye majanajike majeuri hayo..
Man kabila haki determine ujeuri wa mtu. Haswa hawa waliozaliwa town. Ukabila hau play part.

Almost mademu wote wajeuri.. wakaks.. sijawahi kutana nao kwenye hayo makabila. Nimekutana nao kwa mnyaturu.. na mwingine msukuma.. hswa mnyaturu huyu ni pasua kichwa..

Ila siwez sema kabila flani wanawake wakorofi. Wako wanawake kwenye hayo makabila na si wakorofi.
Its all down to malezi.
 
Jokajeusi atakuja kukupa muongozo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!
Jokajeusi likes this 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…