Nimeachana na mpenzi wangu niliyedumu naye miaka 4

Soma dogo acha ufala.

KWANI UNADHANI KUMTOA BIKRA NDIO TIKETI YA KUMUOA??

muulize baba yako, kama aliye naye ndiye aliye mtoa bikra. Kisha uje PM nikushauri.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Nakubaliana nawe
It's all about malezi๐Ÿ™…โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™…โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ‘
 
Mwanamke ameumbwa kuleta vitu vya furaha dunia

Yaani inaaminika ukiwa umeoa au unaishi na mwanamke basi unanawili ,maisha yako yakuwa na amani,unakuwa smart,malengo yako yanatimia hrk sababu kichwa kimetulia,watoto nao ni mbaraka.

Sasa ukiona unaishi na mwanMke hlf unakuwa huna furaha na chanzo ni yeye basi usiwaze mara mbili piga chini

Hupaswi kukosa amani sababu ya mwanamke unapaswa kukosa amani sababu malengo yako hayajatimia na ukisharudi nyumbani basi matatizo yako yanapungua mara tu unapomuona mkeo/mpenzi wako.
 
Acha ujinga, Bikra na tabia havina uhusiano.

Hata malaya wanaojiuza walikuwa bikra. Hata wachawi pia walikuwa bikra. Hiyo ni historia tu, kwa hiyo ulipomtoa bikra ulipata nini cha ziada? Matokeo yake utaambulia disco chuo. Endekeza ujinga.

Shukuru Mungu amekuonesha mapema tabia zake.
 

Afanyie kazi haraka sana ushauri wako huu.
 
Mapenzi ni magumu. Relationship yenu imekuwa on and off, on and off. Hiyo inaitwa TOXIC relationship. Haina mwisho mzuri. Sababu Ulimtoa bikra ww, Lazima utaumia sana. Lakini VUMILIA. Time. TIME. time. TIME HEALS ALL WOUNDS!. Take one day at a time. Usifikirie sana ya kesho kumhusu. Pambana tu leo uimalize vizuri bila kuwasiliana naye TENA. Inaweza chukua hata mwaka au zaidi kumsahau. Sometimes miaka mitatu, na unaweza usimsahau kabisa 100%. Lakini utamsahau tu kiasi kwamba hakuathiri tena maisha yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ