Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Ni hivi. Hakuna mtandao wenye nafuu tumebanwa mbavu. Kifurushi cha elfu tano hupati hata 3GB?
Bahati mbaya sana Tigo ni mtandao wa watoto kwa spidi yake ya kobeNimeachana rasmi na vifurushi vya TIGO, nimerudi halotel japo ni wale wale kasoro jina tuu.
Halotel 1500 MB 750
Halotel 2000 GB1...
Chini ya apo hakuna mkuu wangu?Kama shughuli zako zina tija na unahitaji bando kila siku mi nakushauri funga supakasi ya voda, 120k kwa mwezi unlimited, speed up to 30mbps
Sent using Jamii Forums mobile app
Unlimited kweli au baada ya muda wanabana speed?Kama shughuli zako zina tija na unahitaji bando kila siku mi nakushauri funga supakasi ya voda, 120k kwa mwezi unlimited, speed up to 30mbps
Sent using Jamii Forums mobile app
Elfu 5 inaonekana hela ya kijinga Sana et 1.4 ..WaheedSh5000=Dk280+GB1.4+SMS100/Siku7
Sh10000=GB4.5/Siku30
Sh20000=Dk800+GB7+SMS50/Siku30.
Piga *147*00# chagua Wiki/Mwezi. BOOMPLAY APP Home - boomplay
😡😡😡😡😡😡😡
Spidi ya kobe??? labda huko kwenuBahati mbaya sana Tigo ni mtandao wa watoto kwa spidi yake ya kobe
Inategemea na kazi zako lakini halotel bado wako nyuma kwa spid.Spidi ya kobe??? labda huko kwenu
watapandisha kama tigo takatakaHalotel 1500 MB 750
Halotel 2000 GB1
watapandisha kama tigo takataka
Elfu 5 inaonekana hela ya kijinga Sana et 1.4 ..Waheed
Njoo TTCL hautokaa ujutie.
#RudiNyumbaniKumenoga
Mtandao ni Voda hyo mingine ni kampuni za huduma za mawasiliano , voda hawabahatishi japo ni wezi balaaInategemea na kazi zako lakini halotel bado wako nyuma kwa spid.
Spid namba moja ni jambazi voda akifuatiwa na Tigo.
Airtel na halotel wanaburuza mkia