Nimeachana na vifurushi vya TIGO, hawafai hata kidogo

Nimeachana na vifurushi vya TIGO, hawafai hata kidogo

Mzee TIGO achana nao! Nimenunua sana kifurushi....mm nikishaachana nao longtime japo line yao nimeiacha kwenye simu kwasbaby naitumia muda mrefu ili mtu akinitafta asinikose ila sijaiwekea pesa longiii! Last time nimejiunga kifurushi cha 2500 nafkir aisee hata msg moja whatsapp sikupokea.
 
Hao ni zero kabisa.. Niko Mpanda hapa hakuna kitu...

Nilitaka kushangaa kitu cha serikali kikawa bora zaidi ya private 😁😁 angalia hata shule za kata mazingira yake yanasikitisha kwakweli
 
Nimeachana rasmi na vifurushi vya TIGO, nimerudi halotel japo ni wale wale kasoro jina tuu.

Halotel 1500 MB 750
Halotel 2000 GB1
Tigo 1500 MB 650
TIGO 2000 MB 800
N.k
N.k

In short hakuna mtandao wenye unafuu kwa sasa, ndugu zangu kama kuna mtu anajua mtandao wenye WIFI unlimited, na bei zake atujuze. Hali ni mbaya, ukijiunga hazikawii kupiga hodi, ni fasta wanazifyeka bila huruma

Wasalaam..
Tigo postpaid hapa, GB 30 elfu ishirini na tano, mwezi mmoja.

Asanteni tiGO.
 
Tigo postpaid hapa, GB 30 elfu ishirini na tano, mwezi mmoja.

Asanteni tiGO.
Hakuna cha post wala mama yake post paid

Wewe unaona ni sawa ivyo!! Unalizungumziaje kwa watu wenye kipato cha chini!!! Kwanini wasifanye 5GB kwa shiling 5000 tu kwa mwezi badala ya 30GB kwa 25000 ili watu wa chini na wao waweze kumudu kifurushi hicho kwa bei ya 5000!!!
 
Silizingumzii hilo hapa, nazungumzia POST PAID. Ni hayo tu
 
Tigo wanapelekeshwa na Halotel naona wanawaiga sana kwenye vifurushi hivi sasa

SMS ZA KUMWAGA Tsh200=SMS200@Saa24 Tsh500=SMS 1000@Siku7 Tsh1000=SMS 10000@Siku30 Piga*147*00# chagua Siku/Wiki au Mwezi!
 
Back
Top Bottom