Nimeachana na vifurushi vya TIGO, hawafai hata kidogo

Nimeachana na vifurushi vya TIGO, hawafai hata kidogo

Inategemea na kazi zako lakini halotel bado wako nyuma kwa spid.
Spid namba moja ni jambazi voda akifuatiwa na Tigo.
Airtel na halotel wanaburuza mkia
Airtel ndio mtandao wangu pendwa naotumia mb zinatumika vizuri bila wizi. Voda nawatumia kupokea simu tu na miamala nayo nilipunguza sababu ya tozo.

Halotel mwanzo walikuja vizuri baadae nao wakaanza wizi nilitupa line yao mwaka jana mitandao yote speed nzuri tu ukiwa mjini
 
Mkuu sa
Airtel ndio mtandao wangu pendwa naotumia mb zinatumika vizuri bila wizi. Voda nawatumia kupokea simu tu na miamala nayo nilipunguza sababu ya tozo
halotel mwanzo walikuja vizuri baadae nao wakaanza wizi nilitupa line yao mwaka jana mitandao yote speed nzuri tu ukiwa mjini
Sasa mwanaume utashinda mjini kila siku kama akina Sepetu?
Tunataka mitandao yenye coverage kubwa kwani mwanaume unakimbikimbia kila kona kusaka riziki
 
Nimeachana rasmi na vifurushi vya TIGO, nimerudi halotel japo ni wale wale kasoro jina tuu.

Halotel 1500 MB 750
Halotel 2000 GB1
Tigo 1500 MB 650
TIGO 2000 MB 800
N.k
N.k

In short hakuna mtandao wenye unafuu kwa sasa, ndugu zangu kama kuna mtu anajua mtandao wenye WIFI unlimited, na bei zake atujuze. Hali ni mbaya, ukijiunga hazikawii kupiga hodi, ni fasta wanazifyeka bila huruma


Wasalaam..
Airtel 2000 MB 850
Mpaka tuombe pooo
 
Inategemea na kazi zako lakini halotel bado wako nyuma kwa spid.
Spid namba moja ni jambazi voda akifuatiwa na Tigo.
Airtel na halotel wanaburuza mkia
Kuna wapumbavu wanaitwa ttcl.Mungu awasaidie tu hao watu,yani mtandao hapo kibaha tu haukamati.
 
Hali ni tete ndugu zangu na hakuna wakututetea, kila mtu anajifanya haoni
 
Back
Top Bottom