Nimeachana na vifurushi vya TIGO, hawafai hata kidogo

Nimeachana na vifurushi vya TIGO, hawafai hata kidogo

Nimeachana rasmi na vifurushi vya TIGO, nimerudi halotel japo ni wale wale kasoro jina tuu.

Halotel 1500 MB 750
Halotel 2000 GB1
Tigo 1500 MB 650
TIGO 2000 MB 800
N.k
N.k

In short hakuna mtandao wenye unafuu kwa sasa, ndugu zangu kama kuna mtu anajua mtandao wenye WIFI unlimited, na bei zake atujuze. Hali ni mbaya, ukijiunga hazikawii kupiga hodi, ni fasta wanazifyeka bila huruma


Wasalaam..
Mi nilitupa na line kabisa.
 
Tigo kifurushi cha wiki chagua wanatoa Mb 950 kwa sh 2000
 
Yaani soon na uninstall WhatsApp
Screenshot_20221103-200505_Messages.jpg
 
Back
Top Bottom