Nimeachana na vifurushi vya TIGO, hawafai hata kidogo

Inategemea na kazi zako lakini halotel bado wako nyuma kwa spid.
Spid namba moja ni jambazi voda akifuatiwa na Tigo.
Airtel na halotel wanaburuza mkia
Airtel ndio mtandao wangu pendwa naotumia mb zinatumika vizuri bila wizi. Voda nawatumia kupokea simu tu na miamala nayo nilipunguza sababu ya tozo.

Halotel mwanzo walikuja vizuri baadae nao wakaanza wizi nilitupa line yao mwaka jana mitandao yote speed nzuri tu ukiwa mjini
 
Mkuu sa
Sasa mwanaume utashinda mjini kila siku kama akina Sepetu?
Tunataka mitandao yenye coverage kubwa kwani mwanaume unakimbikimbia kila kona kusaka riziki
 
Airtel 2000 MB 850
Mpaka tuombe pooo
 
Inategemea na kazi zako lakini halotel bado wako nyuma kwa spid.
Spid namba moja ni jambazi voda akifuatiwa na Tigo.
Airtel na halotel wanaburuza mkia
Kuna wapumbavu wanaitwa ttcl.Mungu awasaidie tu hao watu,yani mtandao hapo kibaha tu haukamati.
 
Hali ni tete ndugu zangu na hakuna wakututetea, kila mtu anajifanya haoni
 
Hapa isipokuja huduma ya home wifi hawa jamaa watatutesa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…