Nimeachana na vifurushi vya TIGO, hawafai hata kidogo

Mi nilitupa na line kabisa.
 
Mitandao yote ya simu ni 'dugu' moja. Wanatofautiana kidogo sana.
 
Tigo kifurushi cha wiki chagua wanatoa Mb 950 kwa sh 2000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…