Acha hizo, kama huwezi shauri maneno ya busara bora unyamaze. Mambo ya ngono hayo ni yake binafsi, focus kwenye mada.Sema wazi tu kuwa unataka upate leseni rasmi ya kuzini au kwa kiswahili rahisi ni leseni ya kungonoka bila woga tena. Ati upate baraka za wazazi. Kwani sasa mnapo ngonoka huwa unaenda kuomba radhi kwao asubuhi au huwa unaenda tu kuoga na kubadili nguo??
Mambo ingine Tz ni kama kuivuruga akili tu.
Amua uende kwake haraka sana la sivyo usije hapa ukilia kuwa; Aliniacha jana tu leo ako na wawili
Inaonesha utakipeleka lazima eti nia anayo sasa kipi kinamshindwa kufata utaratibu mzuriAnaishi kwake, nia ya kuoa anayo ila kuchukuana pasipo utaratibu hapana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwapendezesha wanadamu tu ila haikusaidii chochote maishani mwako na huyo mumeo. Nenda ukaishi na mumeo . Akiondoka ndo kwisha usidhani utaokota mwingine ka huyo
Sisemi na mjinga miye nasema na wanaojielewa. Unaenda kuomba ridhaa kwa wazazi ati ninatamani kwenda kungonoka?? We ni aje??Acha hizo, kama huwezi shauri maneno ya busara bora unyamaze. Mambo ya ngono hayo ni yake binafsi, focus kwenye mada.
Siwezi legeza huu msimamo wangu ni kitu ambacho hakiwezekani ila napenda anielewe umuhimu wa kufunga ndoa rasmi , pia atambue nahitaji baraka za wazazi wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo sio mwanaume ni shetani katika umbo la mwanaume.Habari Kaka, mimi ni Binti wa miaka 28, sijaolewa ila nina mchumba wangu. Huyu Kaka nilikaa naye kwenye mahusiano kwa miaka mittano. Lakini alianza kubadilika ghafla mpaka akampa mwanamke mwingine ujauzito wakawa wanaishi naye. Alishanitambulisha mpaka kwao lakini baada ya kumpa huyo dada ujauzito aliniambia kuwa wazazi wake hawanitaki kwakua hawana uhakika kama nina kizazi au la hivyo wamemuambia kuwa amuoe huyo mwanamke mwingine.
Nilimuambia nimbebe mimba yake akagoma na kuniambia tuendelee kuwa marafiki tu lakini suala la ndoa haliwezekanai. Niliumia sana akawa anakuja kwangu ila anaishi kwa ule mwanamke mpaka alipojifungua. Baada ya kuanza kukusoma niliona kama ananipotezea muda hivyo niliamua kuchana naye. kuna Kaka alikua ananitongoza nikaamua kumkubalia na tukaanza mahusiano, huyo Kaka alikua siriasi kwani baada ya miezi minne tu alikuja kujitambulisha kwetu, akatoa mahari na mipango ya ndoa ilianza.
Baada ya kuona kuwa naolewa X wangu alinitafuta, aliomba tuonane na mimi kwakukua nilikua na mtu wangu basi nilikubali. Huko alianza kunielezea matatizo na mwanamke wake, aliniambia kwanza ni mchafu, mchotyo, hapendi ndugu zake na anafikiria kumuacha kwani Mama yake hamtaki tena anatamania angenioa mimi. Tuliongea mengi sana lakini sikumsikiliza, ila alianza kuomba msamaha, akawa anatuma mpaka na rafiki zake.
Kwakua ni mtu ambaye nilikua nampenda nilijikuta kuwa narudi wkake, nikajikuta sina hamu tena na mchumba wangu na mwisho nikaamua kumuambia mchumba wangu mpya kuwa tuliharakisha lakini mimi simpendi hivyo nataka tuachane. Alilia sana akaumia kw2ani alidai nimemuaibisha kwao kwakua kila kitu kilishaandaliwa ila sikua na namna, niliona hakuna haja ya kuingia kwenye ndoa na mwanaume ambaye simpendi wakati mtu ninayempenda amerudi.
Ndugu zangu walinisihi sana nisimuache lakini nilishafanya maamuzi. Sababu ya kuja kwako Kaka ni hivi, baada ya kuchana na mchumba wangu huyu mwanaume alinishawishi kubeba mimba yake ili iwe rtahisi yeye kunitambulisha kwa wazazi wake kwani hawawezi kunikubali kama hawajui kuwa nazaa. Nilibeba mimba yake kweli na sasa hivi nina ujauzito wa miezi nane ila kuna mambo yamebadilika Kaka naomba unisaidie kwani nimechanganyikiwa.
Kwanza bado anaishi na X wake, mwanzo aliniambia kuwa wanaishi pamoja kwasababu ya mtoto ila yeye hana mapenzi naye kwani hata tendo la ndoa hawafanyi. Lakini Kaka mimi mimba yangu ina miezi nane nimechunguza nimegundua kuwa kumbe hata huyo mwanamke naye ana mimba ya mtoto wa pili. Kumbuka aliniambia wanalea tu mtoto, sasa Kaka namuuliza kwanini amempa ujauzito ananiambia ilikua ni bahati mbaya.
Anadai kuna siku alirudi nyumbani kalewa ndiyo mwanamke akammbaka na kumlazimisha kufanya naye mapenzi lakini yeye hamtaki. Tuligombana sana nikamuambia kuwa amuache huyo mwanamke, basi siku iliyofuata alichukua vitu vyake kwa huyo mwanamke na kuhamia kwangu. Aliniambia kuwa kaamua kumuacha mwanamke wake, lakini Kaka sio hivyo nimechunguza nimegundua kuwa kule kwa yule mwanamke kamuaga kuwa anasafiri kikazi na wala hajamuambia kuhusu mimi.
Nimemuambia si nina mimba basi anipeleke kwao kunitambulisha ananizungusha ananiambia kuwa Mama yake sasa hivi ana presha kwahiyo tutamchanganya tusubiri mpaka apone ndiyo anipeleke. Kaka naomba nisaidie, mwanuame kaja anaishi kwangu, ana kazi nzuri lakini hatoi chochote, kila kitu nahudumia mimi, yaani hata umeme ukikatika hawezi kununua. Kifurushi cha Azam kikiisha basi kama kuna mpira atanunua cha wiki nisiponunua ila ndiyo basi, naomba nisaidie kuna mapenzi kweli hapa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza kabisa umejishusha hadhi wewe mwenyewe. Hivi nyie vijana wa kisasa, nani aliwaambia ndoa hutanguliwa na kuchokonoana hovyo? Mwanamume atakuwakia tamaa pale tu anapokuwa hajakuonja, lakini baada ya hapo ni maamuzi binafsi tu, yaani ni kama hisani kwako, hafungwi na lolote.Wakuu kuna jambo linanitatiza.
Nimekuwa na mahusiano kwa miaka miwili sasa huyu mwenzangu anataka tuchukuane kimya kimya (sogea tuishi) pasipo ndoa rasmi. Anaeleza kuwa baada ya mimi kwenda kwake wazazi wake waende nyumbani kwetu kutoa taarifa kuwa nimeolewa!
Kwa upande wangu nimejaribu kumueleza kuwa siyo jambo la busara mimi kufanya hivyo nahofia wazazi wangu kusononeka (nitakosa baraka za wazazi)
Nimejaribu kumweleza tutambulishane rasmi tufunge ndoa simple tu isiyokuwa na shamrashamra ila amekuwa mgumu kuelewa.
Ameamua kuniacha kisa nimekataa kuolewa kimyakimya pasipo kuwaeleza wazazi kuwa nimepata mchumba.
Bado nampenda sana nifanyeje ili tuweze kufikia suluhu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndipo penye nguvu pekee ya mwanamke, make up wengi tu wanaweza kupaka wakawa kama majini mahaba.Tunda ashawahi kulila?
Kama amekuwa akikutafuna kuna nini tena kimebaki kwako ambacho kitamfanya akuhesabu mke? Tendo la ndoa tayari hata kabla ya ndoa. Basi subiri tu huruma yake.
Miaka 27 ni jioni sana, unatoka kwenye ulingo wa ndoa. Jamaa akitaka kuoa atashuka chini zaidi. Kwa nini kuuchezea wakati? Hao ndugu zako waliojua kwamba jamaa anakutumia kama kiburudisho hawakukulinda kabisa. Hili ni tatizo la kizazi hiki. Waweza hata kumwagiza kaka wa mtu akuitie dada yake aje gheto, stupid!!Nina miaka 27 mwanaume 33 hatujawahi kukwaruzana katika mahusiano yetu. Ndiyo nimemaliza chuo GPA haina mashiko hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu kuna jambo linanitatiza.
Nimekuwa na mahusiano kwa miaka miwili sasa huyu mwenzangu anataka tuchukuane kimya kimya (sogea tuishi) pasipo ndoa rasmi. Anaeleza kuwa baada ya mimi kwenda kwake wazazi wake waende nyumbani kwetu kutoa taarifa kuwa nimeolewa!
Kwa upande wangu nimejaribu kumueleza kuwa siyo jambo la busara mimi kufanya hivyo nahofia wazazi wangu kusononeka (nitakosa baraka za wazazi)
Nimejaribu kumweleza tutambulishane rasmi tufunge ndoa simple tu isiyokuwa na shamrashamra ila amekuwa mgumu kuelewa.
Ameamua kuniacha kisa nimekataa kuolewa kimyakimya pasipo kuwaeleza wazazi kuwa nimepata mchumba.
Bado nampenda sana nifanyeje ili tuweze kufikia suluhu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekupata Bingwa......ajishushe wakae wayamalize.......huo anaojidai MSIMAMO....na hapa kijiweni wanampa kichwa...amesahau....hakuna mwanaume yuko tayari kununua gazeti jioni...LISHASOMWA SANA......na anaemkimbia ndie alimpa gazeti toka asubuhi....Hapo ndipo penye nguvu pekee ya mwanamke, make up wengi tu wanaweza kupaka wakawa kama majini mahaba. Kama amekuwa akikutafuna kuna nini tena kimebaki kwako ambacho kitamfanya akuhesabu mke? Tendo la ndoa tayari hata kabla ya ndoa. Basi subiri tu huruma yake.Miaka 27 ni jioni sana, unatoka kwenye ulingo wa ndoa. Jamaa akitaka kuoa atashuka chini zaidi. Kwa nini kuuchezea wakati? Hao ndugu zako waliojua kwamba jamaa anakutumia kama kiburudisho hawakukulinda kabisa. Hili ni tatizo la kizazi hiki. Waweza hata kumwagiza kaka wa mtu akuitie dada yake aje gheto, stupid!!
Acha kulia lia, chukua hatua, BADILI MAISHA YAKO SASA. Hao wanaokushauri utafute mwingine wanakudanganya. Mwanamke wa kuolewa anatafutwa, sio yeye atafute.
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Umemaliza mkuuNimekupata Bingwa......ajishushe wakae wayamalize.......huo anaojidai MSIMAMO....na hapa kijiweni wanampa kichwa...amesahau....hakuna mwanaume yuko tayari kununua gazeti jioni...LISHASOMWA SANA......na anaemkimbia ndie alimpa gazeti toka asubuhi....
Mkuu wazazi sio WATU BAKI. Acha kumpotosha. Unadhani yatakapomshinda huko atarejea kwa nani? Kauli eti ndoa ni yenu wawili ni uongo mwingine uliopenyezwa kwa kizazi cha sasa. Na wengi wameumizwa kwa ajili hiyo. Huyo unayemwita driver wala sio wa kujenga maisha, keshajilia vyake karidhika, sasa anatafuta gia ya kutokea.hapa ni kama unapiga story kijiweni.....yapo yatakayo faa na yasiyo faaa.....yeye anakupenda kwa dhati?? na wewe wampenda kwa dhati???..yazungumzeni kwa weledi....ndoa ni maisha yenu sio ya wazazi......kumbuka mnaenda kujenga maisha yenu....jamaa ndio driver.....usinganganie tu kuwaridhisha watu....BINADAMU hawaridhiki kamwe..
Hilo ndo linalonishangazaInaonesha utakipeleka lazima eti nia anayo sasa kipi kinamshindwa kufata utaratibu mzuri
Nahitaji baraka za wazazi mkuu!Kuwapendezesha wanadamu tu ila haikusaidii chochote maishani mwako na huyo mumeo. Nenda ukaishi na mumeo . Akiondoka ndo kwisha usidhani utaokota mwingine ka huyo
Bora wewe uliyetanguliza mahari manake ulijitambulisha ukweni. Kuliko nijitangulize kwa mume alafu baada ya wiki wazazi wake waje kwetuMkuu wewe inaonekana una makomplication mengi,na hujui maana ya ndoa na harusi,ndoa ni muungano wa hiari kati ya Mwanamme na mwanamke kama mke Na mme,sasa sijui wewe unataka ndoa au unataka mke,maana ninyi wanawake mmekua watu wenye kupenda ufahali na hivyo kuwalazimisha wanaume waingie kwenye mambo ambayo hawa kutarajia matokeo yake ni kuwapoteza wale mnao wapenda
Tatizo lako hamjapatana ni kipi kifanyike,wewe unataka harusi,mwenzio anataka ndoa sasa hapa lazima hamtaelewana,mimi nakushauri uungane na mwenzako anayetaka ndoa,achana na mambo ya harusi
Mimi baada ya kutanguliza mahari ukweni nilimchukua wife bila hata hizo ndoa unazozisema na mke wangu licha ya elimu aliyekuwa nayo hakujali,lakini pia hata wazazi wako walicho Kali ikiwa kumwona binti yao anapata mwenzako
Mwisho be watchful, utakomalia nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app