Nimeachwa na mpenzi sababu anataka tuishi pasipo ndoa (sogea tuishi)

Yawezekana aliwahi kuanzisha mahusiano ambayo yalifika process flani halafu yakavunjika;
Ili kutokucompilcate mambo anaona muanze kukaa ili process zingine zifuate.

Nasimama na jamaa kuwa anania nzuri tu, ila wewe kwa uzumbukuku wako unaona anakuonea.

Mwache sasa uendelee na mipango yako ya kuolewa kwa harusi na mtu mwingine.
Wakuu kuna jambo linanitatiza.
Nimekuwa na mahusiano kwa miaka miwili sasa huyu mwenzangu anataka tuchukuane kimya kimya (sogea tuishi) pasipo ndoa rasmi. Anaeleza kuwa baada ya mimi kwenda kwake wazazi wake waende nyumbani kwetu kutoa taarifa kuwa nimeolewa!

Kwa upande wangu nimejaribu kumueleza kuwa siyo jambo la busara mimi kufanya hivyo nahofia wazazi wangu kusononeka (nitakosa baraka za wazazi)

Nimejaribu kumweleza tutambulishane rasmi tufunge ndoa simple tu isiyokuwa na shamrashamra ila amekuwa mgumu kuelewa.

Ameamua kuniacha kisa nimekataa kuolewa kimyakimya pasipo kuwaeleza wazazi kuwa nimepata mchumba.

Bado nampenda sana nifanyeje ili tuweze kufikia suluhu?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uamuzi uliochukua ni mzuri sana mkuu... Us I ones he upo desperate na ndoa kwa kujirahisisha kwenda kuishi nae maana ukienda tu utakuwa ndo umeolewa hata mahari wanaweza wasitoe....

Good choice, inaonekana upo smart upstairs kama ndoa ipo ipo tu Mungu ataileta kama haipo huwezi ilazimisha iwepo by the way kuwa some great men wapo bado so utapata mkuu Mungu akusimamie .....

Sent using Jamii Forums mobile app
Na iwe hivyo ameen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yawezekana aliwahi kuanzisha mahusiano ambayo yalifika process flani halafu yakavunjika;
Ili kutokucompilcate mambo anaona muanze kukaa ili process zingine zifuate.

Nasimama na jamaa kuwa anania nzuri tu, ila wewe kwa uzumbukuku wako unaona anakuonea.

Mwache sasa uendelee na mipango yako ya kuolewa kwa harusi na mtu mwingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili kweli ni wazo lake haswaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well, ni kutofautiana perspectives tu.
Mimi my perspective is, anaweza kumuweka ndani mwanamke aliemtamani (sio aliempemda) kwa matumizi ya muda mfupi ili kukidhi mahitaji yake kwa muda huo. Na hapo hutumia mbinu mbalimbali kufanikisha hilo.
Econometrician
Wapo wengi tu siku hizi; anakuweka ndani ili mradi anapata ngono, kupikiwa, kufuliwa etc; yeye anaona fresh tu. Sasa mwanamke ajikute kabeba mimba au aanze kuulizia mambo ya ndoa; atashaaaa. Wengine ndo hao mwanaume unaishi naye ila unakuja kushangaa katangaza ndoa kwingine
 
Nipo makini sana na hili kama anayo nia nzuri afuate utaratibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu kuna jambo linanitatiza.
Nimekuwa na mahusiano kwa miaka miwili sasa huyu mwenzangu anataka tuchukuane kimya kimya (sogea tuishi) pasipo ndoa rasmi. Anaeleza kuwa baada ya mimi kwenda kwake wazazi wake waende nyumbani kwetu kutoa taarifa kuwa nimeolewa!

Kwa upande wangu nimejaribu kumueleza kuwa siyo jambo la busara mimi kufanya hivyo nahofia wazazi wangu kusononeka (nitakosa baraka za wazazi)

Nimejaribu kumweleza tutambulishane rasmi tufunge ndoa simple tu isiyokuwa na shamrashamra ila amekuwa mgumu kuelewa.

Ameamua kuniacha kisa nimekataa kuolewa kimyakimya pasipo kuwaeleza wazazi kuwa nimepata mchumba.

Bado nampenda sana nifanyeje ili tuweze kufikia suluhu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia na situation yake kiuchumi inawezekana unataka apitie process zote ilihali uwezo huo hana au kama anazo basi .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi 27 mwanaume 33

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama anakupenda na anataka kukuoa olewa tu dada.
Changamoto mna values tofauti tu usitafute ushauri juu ya mapenzi yenu kaeni wote muongee kuleta usawa na maelewano.

Nina mashaka wewe ni wale wanawake wenye kiburi na wagomvi ndiyo sababu mahusiano yenu yamefikia yalipofika na ukicheza unampoteza.
 
Hapana mkuu bado nampenda mpenzi wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Unampenda wakati hutaki akuoe wa unaamini mkifunga ndoa ndo mtaishi pamoja milele?

Acha wenge binti we nenda uolewe yawezekana nae kwa sasa hali yake ya uchimi hairuhusu kufunga ndoa, ndoa ni shughuli hata unayoiita wewe ya kawaida ni shughuli ujue. Kama mnapendana kwa dhati wote we nenda uolewe ndoa mtaunganisha hata kwa badae

Sawa mkuu nimekuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom