Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mkuu songa mbele ,kutazama ya nyuma ni kupoteza tu mda zaidi.Dah kinachouma ni mda aisee mda wote huo nimepoteza bure
Na atajicheka na kujitukana matusi mazito mno...Pole mno kuna mda hiyo hali itaisha na utasonga mbele halafu utajicheka sana, ila kwa sasa umia kwanza.
Wala usiumie, furahi kwasababu umejua uongo wake. Alikuwa anakudanganya muda woteNimemtakia kila la heri sijampa shit wala kumtukana japo alichokifanya kimeniuma sana
It will make him stronger, not now but he will understand one dayBe familiar with pain
Kabisa, tena atatamani hata huu uzi ufutike humu ,ila kwa sasa aumie tu hata ukimshauri hata kuelewa😆😆😆Na atajicheka na kujitukana matusi mazito mno...
Ila kwa sasa nami nasema aumie ili apone..
Maskini mweeeeee,,kauchezea uvulana wakoDah kinachouma ni mda aisee mda wote huo nimepoteza bure
Futa namba zake na kila kumbukumbu uliyobaki nayo kuhusu yeye iondoe, jibu la mwisho ulilompa la kukubaliana na wazo la kuachana nae ndo iwe meseji yako ya mwisho kwake usitake tena kujua chochote kuhusu yeye endelea na maisha yako.Hapa nimeleta uhalisia ila wakati ananipigia kunambia sikuonesha kabisa kama nimeumia
Mtoto wa kiume kulilia mapenzi ni dalili mbaya. Mabinti wazuri wamejaa kibao mtaani, unaanzaje kumlilia binti aliyeamua kumrudia jamaa yake wa zamani?Siku kama ya 5 hivi mpenzi wangu simuelewi mawasiliano hafifu ubize mwingi si kawaida nikimuuliza ananiambia ni kazi za nyumbani maana ameenda kwao baada ya kufunga chuo so kazi za shambani ni nyingi muda mdogo.
Sasa tokea jana hatukuwa na maelewano mazuri mpka siku inaisha hakuwa sawa. Leo sasa kanitamkia Live kwamba karudi kwa jamaa yake kwa kuwa 'ametoka nae mbali' so ni ngumu kumuacha.
Nyie huyu msichna nina miaka nae miwili leo anakuja kuniacha ghafla hivi mumivu yake sikieni tu ni afadhali hata maumivu ya kutolewa roho😭😭.
Kuchwa kunauma sana hasa muda na pesa nilizowekeza kwake nikifikiria ningekuwa na mtu seriously pengine ningeshapata hata mtoto now.
Hongera kwa ushindi mkuu haya maumivu ni ya muda tu.. Amini usiamini hilo balaa unalolipata leo baada ya siku chache utenjoy maisha. Na utayafurahia maamuzi yake..Siku kama ya 5 hivi mpenzi wangu simuelewi mawasiliano hafifu ubize mwingi si kawaida nikimuuliza ananiambia ni kazi za nyumbani maana ameenda kwao baada ya kufunga chuo so kazi za shambani ni nyingi muda mdogo.