Nimeachwa na mpenzi wangu jamani!

Nimeachwa na mpenzi wangu jamani!

Hapa nimeleta uhalisia ila wakati ananipigia kunambia sikuonesha kabisa kama nimeumia
Futa namba zake na kila kumbukumbu uliyobaki nayo kuhusu yeye iondoe, jibu la mwisho ulilompa la kukubaliana na wazo la kuachana nae ndo iwe meseji yako ya mwisho kwake usitake tena kujua chochote kuhusu yeye endelea na maisha yako.

Usimpigie simu wala kutuma meseji yoyote ya kuonyesha bado unamuhitaji huo ni udhaifu, ukiweza kufanya hivyo ndani ya mwezi mmoja tu unamsahau akiona matokeo hayo asiyo yatarajia ataanza kukutafuta yeye lakini usirudi nyuma akituma meseji usijibu chochote zifute pamoja na namba yake, jenga maisha yako.
 
Siku kama ya 5 hivi mpenzi wangu simuelewi mawasiliano hafifu ubize mwingi si kawaida nikimuuliza ananiambia ni kazi za nyumbani maana ameenda kwao baada ya kufunga chuo so kazi za shambani ni nyingi muda mdogo.

Sasa tokea jana hatukuwa na maelewano mazuri mpka siku inaisha hakuwa sawa. Leo sasa kanitamkia Live kwamba karudi kwa jamaa yake kwa kuwa 'ametoka nae mbali' so ni ngumu kumuacha.

Nyie huyu msichna nina miaka nae miwili leo anakuja kuniacha ghafla hivi mumivu yake sikieni tu ni afadhali hata maumivu ya kutolewa roho😭😭.

Kuchwa kunauma sana hasa muda na pesa nilizowekeza kwake nikifikiria ningekuwa na mtu seriously pengine ningeshapata hata mtoto now.
Mtoto wa kiume kulilia mapenzi ni dalili mbaya. Mabinti wazuri wamejaa kibao mtaani, unaanzaje kumlilia binti aliyeamua kumrudia jamaa yake wa zamani?
Bahati yako! Ungekuwa karibu ningekunasa vibao.
 
Siku kama ya 5 hivi mpenzi wangu simuelewi mawasiliano hafifu ubize mwingi si kawaida nikimuuliza ananiambia ni kazi za nyumbani maana ameenda kwao baada ya kufunga chuo so kazi za shambani ni nyingi muda mdogo.

Sasa tokea jana hatukuwa na maelewano mazuri mpka siku inaisha hakuwa sawa. Leo sasa kanitamkia Live kwamba karudi kwa jamaa yake kwa kuwa 'ametoka nae mbali' so ni ngumu kumuacha.

Nyie huyu msichna nina miaka nae miwili leo anakuja kuniacha ghafla hivi mumivu yake sikieni tu ni afadhali hata maumivu ya kutolewa roho😭😭.

Kuchwa kunauma sana hasa muda na pesa nilizowekeza kwake nikifikiria ningekuwa na mtu seriously pengine ningeshapata hata mtoto now.
Hongera kwa ushindi mkuu haya maumivu ni ya muda tu.. Amini usiamini hilo balaa unalolipata leo baada ya siku chache utenjoy maisha. Na utayafurahia maamuzi yake..

Fanya kujisamehe wewe kwanza kisha yeye ili uwe salama ndani yako. Futa na ondoa kila kumbukizi za huyo dada zinazotazamika kwa haraka kwenye maisha yako. (mfano, picha au mavazi, texts)

Ukianguka kwenye vumbi, kabla ya kuondoka ni muhimu kujingung'uta kishaunaendelea na safari yako.
 
Back
Top Bottom