Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
What happened, this will help us analyze the reality, (situational analysis), though, that involves your personal life (in those days we used to say to love is to raise interest). Swala la mapenzi linatatuliwa na wahusika wawili sisi tunaweza kubadilishana uzoefu tu, ( sharing experiences), wewe ndiye ulikuwa unapata ze utamu umeshindwa kujipendekezaMambo zenu.
Guys nimeachwa na mtu ambaye nampenda sana nashindwa kuaccept situation.
Naombeni Ushauri.
Na ukaniangalia tu, we mtoto tabia mbaya kweli🤣🤣atakuwa amejionea
Kwenye fizikia au chemistry kuna facts ambazo huwezi kuzikeuka hata kama unapenda kufanya hicho kitu. Mfano kanuni ya nguvu ya uvutano, hata kama ukipenda vipi wewe kaa juu ya paa la nyumba jirushe lazima ufe, au kemia, wewe hata kama unapenda vipi lala la jiko la mkaa ndani, hewa ya ukaa itakuua. Maana yake nini? Kila jambo lina kanuni yake, hata kama unapenda vipi huwezi kukeuka kanuni lasivyo umauti utakukuta. Hivyo hili tukio lichukulie kama kanuni, lipo nje ya uwezo wako na huwezi kuliweka akilini mwako kwa sababu ndivyo ilivyo na huyo aliyekuacha hakufaiMambo zenu.
Guys nimeachwa na mtu ambaye nampenda sana nashindwa kuaccept situation.
Naombeni Ushauri.
Jinsia yakoMambo zenu.
Guys nimeachwa na mtu ambaye nampenda sana nashindwa kuaccept situation.
Naombeni Ushauri.
Ila mimi mke wangu nitampendaga sana, kungekuwa na vipimo vya upendo wanawake wangenigombaniaAkae chonjo chonjo na mipaka.shume hapa mjini kila kona ipo inasubiri mipira iliyokufa wamalizane nayo 😂😂😂😂😂😂😂😂
Sijui nacheka nn hata, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiye mpenzi wako wa Kwanza?
Bahati iliyo mbaya sie wanawake hatupendi wanaume wenye huo upendo km wakoIla mimi mke wangu nitampendaga sana, kungekuwa na vipimo vya upendo wanawake wangenigombania
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbaya zaidi ikiwa unaona dhahiri kuwa chanzo cha kuachwa ni wewe mwenyewe.... aluuuuuh!
Ko mnapenda wanaume wanaopenda sana? auBahati iliyo mbaya sie wanawake hatupendi wanaume wenye huo upendo km wako
Nice men hawatupi msisimko, mi mwenyewe mmoja wapoKo mnapenda wanaume wanaopenda sana? au
Ungejua kama umejaa mule mule, basi tu, kumbe ulijua mimi ni dizain ya waume wasiochapa makofi?Nice men hawatupi msisimko, mi mwenyewe mmoja wapo
We nae hujaelewa, hatutaki mwanaume anaetabirika kitabia,Ungejua kama umejaa mule mule, basi tu, kumbe ulijua mimi ni dizain ya waume wasiochapa makofi?
Ndo maana nikasema umejaa, hakuna mwanaume anaesema ukweli wakat wa kutongozana, vyote hivyo hapo juu ni ukweli mtupu, hakuna uongo hata 1. NatabirikaWe nae hujaelewa, hatutaki mwanaume anaetabirika kitabia,
Usiponielewa utanielewa mwakaniNdo maana nikasema umejaa, hakuna mwanaume anaesema ukweli wakat wa kutongozana, vyote hivyo hapo juu ni ukweli mtupu, hakuna uongo hata 1. Natabirika