Nimeachwa na mtu ninayempenda sana, nimeshindwa kukubaliana na hali

Kunywa smart gin aka kisungura kila ukinywa fundo moja jipige kifuani useme mimi ni sungura🐰
 
Moyo unamasikio na unasikia,sema nao katikati ya maumivu makali uliyo nayo.hiyo ndio dawa pekee nao utapona
 
Mwa Mwamba huyu hapaaaaπŸ‘Œ
 
Mambo zenu.

Guys nimeachwa na mtu ambaye nampenda sana nashindwa kuaccept situation.

Naombeni Ushauri.
Upo sahihi kuto accept kwasababu unampenda. Huo ndio ushauri wangu namba 1

Namba 2, uki accept utakuwa haumpendi tena.

Namba 3, usi accept ku accept utakuwa haumpendi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…