Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
- Thread starter
-
- #261
Umenena vema mkuu. Ingawa umesimanga kwa sehemu [emoji28]...Mi naona ni jambo jema.
Rudi kwenye soko angaza mali mpya.
Bora mmemaliza hili mapema nisingeelewa mtu, mtuchangishe michango baada ya mwaka na robo, ndoa chali muanze visa, heshimuni sana michango yetu hata kama mnatupa kuku na bia.
Pole sana mkuu.kuna level ukifika hayo mambo hayatakushuhurisha tena.
unajua nini kitambo nilipigwaga vimatukio fulani hivi nikajifunza sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
aise me hata hilo gari lenyewe silijui,hongera mkuu. ILA mapenzi ni kitu kingne kabisa, kuna funzo kwene shuhuda yako hiiSio vigari vya chini kama crown, naendesha Discovery 4 Hybrid, la juujuu.
Nikipanda au kushuka siwi nimechuchumaa, nasimama.
hapo no3 imekaa vyema zaid yan bora mwanamke alilie ndoa kuliko mwanaume ndio uforce ndoa oyaaa utakuja kuchapwa matukio mpk uwe chiziPole Mkuu Amicus Curiae huwa naelewa sana falsafa zifuatazo katika mahusiano.
1. Ni makosa makubwa mwanamke kufahamu kuwa bila yeye mambo yako yatakwqma, hakika mwanamke akilijua hilo lazima akusumbue tu.
2. Hii inabebana na iyo ya kwanza, kamwe mwanaume haupaswi kujishusha mbele ya mwanamke hasa mwanamke uliye naye kwenye mahusiano. Huna sababu ya kujieleza kwa jambo lolote kwake. Ila muhimu wewe muheshimu tu na mipaka izingatiwe.
3. Usimuombe mwanamke kumuoa wewe fanya mambo yako hadi siku yeye atakapoomba wewe umuoe na kamwe usikubali akuendeshe au kukulazimisha kumuoa
Sasa Mkuu huyu mwanamke alijua bila yeye mambo yako hayataenda, huyo usihangaike naye kabisa funga ukurasa focus kwenye mambo mengine.
Pole sana Mkuu Amicus Curiae
Aisee,, ushauri mzuriNa pia nadhani ulijitoa sana kwake kwa kila kitu. Going forward be careful unapodeal na mwanadamu; na angalau uwe tayari kwa lo lote maana mwanadamu anaweza kubadilika wakati wo wote. Jitoe kwa upendo huku ukijua kuwa ni sadaka tu unatoa lakini siyo kwa kutegemea cho chote maana kusema kweli loyalty ya mtu huwezi kuinunua ama kwa material things wala upendo wako wa kweli. Mwanadamu anaweza kuwa kiumbe katili sana akiamua!
Lakini pia kama malengo yako yalikuwa safi kwa huyu binti (if your intentions were pure) basi ondoka na dhamira safi huku ukijua kuwa hukumpotezea muda wake...and the Universe will reward you handsomely. Mwache aende na mtakie mema ila usije ukashangaa huko mbele ya safari kama atataka kurudi tena.
Kwa sasa hakuna njia ya mkato. Kuumia ni lazima utaumia lakini utavuka. Kwa kadri muda unavyokwenda maumivu nayo polepole yatapungua; na nati hizo zinazokaza kwenye moyo zitaanza kuachia na furaha yako itarudi.
Na ni lazima uchukue tahadhari. Usije ukaishia kuchukia wanawake wote. Huyu hakuwa wako na imeonyesha hivyo. Hata kama ungelazimisha basi huko mbele ya safari ungeumia zaidi ya unavyoumia sasa. Angalia tu usije ukaenda huko ukilalama na kuita kila mwanamke ni laghai, mbwa na malaya. Hutakuwa sahihi. Na siku moja utakuja kumpata aliye wako ambaye atakuonyesha mwanamke mwema na waifu matirio yukoje. Endelea kumtafuta mwanamke huyo kwa roho njema, moyo safi na dhamira isiyo na mawaa na siku moja utampata tu.
Sasa umekua! 👏🏼👏🏼👏🏼💪💪
Hahaa sawa mkuu nimekuelewa sana.🫡🫡🫡 make sure wewe ndiyo unapendwa kwenye mahusiano yatakayo fuata.Wewe ndiye provider,wewe ndiye unaye amua kuoa tena sio kinyonge. A woman should be begging you to marry her,hii Mungu amekuepushia zahama maana wewe ndiye ulikua the weak person kwenye mahusiano.
Mwalimu inaonekana kuna mwamba ambaye yeye anampenda sana na amememtingisha kwamba kuna stranger (wewe) anataka kwenda kutoa mahari. Mtu katingishika kweli mpaka imebidi uambiwe vuta handbrake wakati anayependwa akisubiriwa kutimiza ahadi yake . Hii inaitwa multi-dating,ungepewa ruhusa ya kwenda kutoa posa kama plan A yake ingefeli.
Tena mbaya kabisa mkuu.
Nimependa hapo kwenye kuwaza mabaya yake, na alikuwa nayo kama mimi nilivyokuwa nayo. Sema nilichagua kumvumilia.Good! Mungu akusaidie ufute kila memory yake ndio utamsahau na kumove on!
Au waza mabaya yake kwasana ( Kama yapo) itasaidia kukuketea relief ya maumivu!
Mpe hug zito simu haitoshi[/QUOTE]HahaaJitulize
Nakupigia rafiki yangu.
Eti wanatuambia tumezeeka sisi mashangaziSalama vipi wewe?nimeona Kuna sehemu unawanga wanaume wa humu wanaringa imekuwaje tena?
Unaumia maokoto uliyoyamwaga? Ungekua ushajenga kiwanjaIla naumia sana.
Jikaze kiume Mzee baba unaumia kisa mapenzi dadeQSio rahis ka mnavodhan mkuu
Huna haja ya kuwaza mabaya yake ili kujifariji huo ni udhaufu.Nimependa hapo kwenye kuwaza mabaya yake, na alikuwa nayo kama mimi nilivyokuwa nayo. Sema nilichagua kumvumilia.
🤣🤣🤣🤣Waambie ushangazi mwisho mikeseEti wanatuambia tumezeeka sisi mashangazi
Upwiru mwenzio ataanza kupiga nyeto anateseka
Kuna vitu vya kumuumiza mwanaume sio mbususu aseee ..Yani upwiru umetese wakati now day ni kamata dagaa piga ..awe na moyo wa kiume bana huo ni uzaifuUpwiru mwenzio ataanza kupiga nyeto anateseka
Kutoka maktaba kuuPamoja na ww kumfikisha kileleni foo ze festi taimu lkn bado[emoji23]View attachment 2769650