Nimeachwa na nimekubali, ingawa naumia moyoni

Nimeachwa na nimekubali, ingawa naumia moyoni

mzee piga moyo konde amini kwangu utampata aliebora zaid ya huyo.

Kweli mapenzi yanauma ila usifadhaike zaidi ukaunyima moyo wako furaha kisa huyo mwanamke,kwanza shukuru san ulikuwa unaoa mwanamke asiekuwa na misimamo huyo inadhihirisha anaeza hata kuliwa na Ex wake...nimalizie neno TAFUTA PISI KALI ZAID YA HUYO WANAWAKE BILA KUWA NA AKILI YA ZIADA WATAKUCHEZEA AKILI
NAKAZIA
 
Inauma sana.
Mzee usiweke mtu Moyoni mwako
Kuwa na Furaha iliyokamili n kuwa na Furaha ndani yako na usiyoiweka kwenye vitu au mtu ( Isitegemee popote )
Mapenzi yataka singo wawili ( Watu waliokamilika Bila kutegemeana )
Ishini na mtu ukijua ataondoka muda wowote ishi km mgeni

Kuwa singo sio mbaya, mbaya kuwa mkiwa
 
Back
Top Bottom