Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Barua ilikuwa ipelekwe tangu j5 ya wiki iliyopita ila nikapata dharura tukaahirisha.
Hawa ndo wanafanya wanawake wengine watulivu wasiaminiweNi kweli, nilimpenda kwa moyo wangu wote mkuu.
Okay sawa mkuu
Noted, mkuu.Huna haja ya kuwaza mabaya yake ili kujifariji huo ni udhaufu.
Jikeep busy na mambo yako tu.
Inauma mno mkuu..pole sana ndugu ndo maisha ila inauma sana kwakweli
Pamoja sana.[emoji23][emoji23][emoji23]Yalishapita
Ninavyojisikia najua mwenyewe...shughuli ni pevu kweli.
Basi naomba nisamehewe.Umekosea
Mkuu, kanipigia..anajiliza kinoma..sijui karudiii...Kabisa tumia hayo na utasahau na kujenga negativity juu yake and as days goes...utampotezea tu!
wewe usirudi ,simamia msimamo unless otherwise you ill cry moreJamani..amerudi
Ni kweli, nilimpenda kwa moyo wangu wote mkuu.
[emoji3][emoji3]MUNGU akubariki Katika vita ya kuachana na uzinzi, ukianza vikao vya harusi naahidi kutoa 50,000 Kwa kuanzia.