Nimeachwa na nimekubali, ingawa naumia moyoni

Scenario yako inafanana na yangu kidogo, mi nilimuacha mwanamke ninae mpenda nikiwa bado nampenda kwakua alifanya kosa moja tu ambalo nimejiwekea misingi sitamsamehe yoyote akifanya kosa hilo
Nikamwambia aniweke kwenye list ya watu wake waliokufa na hataniona tena,

kadri alivyokua anazidi kuniomba msamaha ndo jinsi nilivyokua nazidi kumchukia kila neno lake alilosema na yale aliyowahi kuyasema yote nilikua naona ni uongo sikumuamini tena na hata ningeishi nae nisingemuamini maisha yake yote

Alifikiri labda nilikua natania tu au ilikua ni hasira ila huo ndo msimamo wangu licha ya kuwa kweli nilimpenda lakin nimemuacha for my peace, dignity and survival

Mwanzo niliumia sana lakin nimejilazimisha hadi imefikia hatua sina hisia za upendo wowote kwake wala simchukii ila sitamani hata kumuona,

Kwa sasa sina hisia za kumpenda mwanamke yoyote nmekua kama chuma inayotembea.
 
Asante rafiki.

Mapenzi yanauma. Imagine mtu unampenda mpaka umefikia hatua ya kupeleka mahari halafu anakupiga chini. It can destroy you usipokuwa mwangalifu japo vijana wa JF hapa watakwambia tu eti piga chini wanawake wako wengi 😁
Ni Kweli inaumiza sana...
 
Aise
 
Umeberp akapiga🤣🤣🤣
Safi sana.

Pole mwaya.
 
NAKAZIA 📌
 
Pole sana mkuu,mshukuru Mungu pia kwa kuwa hamkuwa mmefika mbali sana,
 
Safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…