Nimeachwa na nimekubali, ingawa naumia moyoni

Pole sana Kijana mwenzangu.
Mimi niseme hivi, hapo utafikiria kila mtu mbaya. Utampa uchawi kila mtu.
Kiufupi. Binti hayuko tayari na ndoa, plus yupo mjinga somewhere anakula huyo binti. (Srry to say that inaumiza zaidi hii situation).

Tatu hongera sana kufikiria swala la ndoa na kujitoa kimuhe muhe, MAN UP! Wanawake wanataka kuolewa ni wengi, wakali wana heshima wana kazi zao nzuri saaaaaaaana.
Wapo makwao bado kwa wazazi wao.

Wengine wanaslay tunawaona kama malaya ila wanatamani ndoa na kuja kuheshimu ndoa.

Kwa case ya huyo. Kaza moyo, usilie.

Ila pia na sisi kwenye umri wetu tulilia hivo na kuumia zaidi ya wewe. Usijali ndugu. Ni mambo ya kawaida.
 
Sikutegemea utatumia hivo Ila nisamehe bure bro maana demu wako ninaye getto na anakatika vibaya mno utazani umeme wa tanesco [emoji2957]
 
hii jinsia inataka ibembelezwe kwenye kila kitu na ww unahitaii kulambwa mabanzi ya uso unamjaribu vp mtu kwa kumuambia tuachane?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…