Nimeachwa, najikuta natamani kila mwanaume

Nimeachwa, najikuta natamani kila mwanaume

huku kwetu

Senior Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
146
Reaction score
195
Habari wana JF,

Mimi ni msichana wa miaka 24, nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tumedumu kwa miaka mitatu, bahati mbaya mwenzangu akawa ananichit kwa kuanzisha uhusiano na ex wake, na mpaka nilipokuja kugundua ikabidi tubroke na mimi.

Kwa hiyo kutokana na hali hiyo nimekuwa single kwa muda, tatizo langu sasa kiukweli namiss mapenzi mbaya, saizi nimekuwa navutiwa na wanaume ovyoovyo yani natamani hata anishike mkono tu.

Nisaidieni mwenzenu nifanyaje niepuke na hili pepo jamani

Natanguliza shukrani
 
Kwahiyo unahitaji mtu wa kukupa mambo ili upunguze ma nye co ngoja wataalam wa hizi kazi waje wachangamkie fursa alafu itakua rahisi inaonyesha huitaji mapene kabisa
 
Si wewe kuna roho nyuma yako inayokutumikisha maombi pekee yatakunusuru na hali izidio ya matamanio ulonayo kwa sasa
 
Umeona eeeeeh? Hili tangazo limekuja kivingine saaana kuistukia hiii lazima uwe great thinker [emoji1] [emoji1] !
Ndio maana vitabu vimeagiza tuishi nao kwa akili aiseeee.....
Kwani unadhani itatokea ukakuta mdada akatongoza humu kiurahisi?
Sana wataishia kuaibishwa na hawa wavulana ambao tuna pishana nao humu jamvini
 
Habari wana JF,

Mimi ni msichana wa miaka 24, nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tumedumu kwa miaka mitatu, bahati mbaya mwenzangu akawa ananichit kwa kuanzisha uhusiano na ex wake, na mpaka nilipokuja kugundua ikabidi tubroke na mimi.

Kwa hiyo kutokana na hali hiyo nimekuwa single kwa muda, tatizo langu sasa kiukweli namiss mapenzi mbaya, saizi nimekuwa navutiwa na wanaume ovyoovyo yani natamani hata anishike mkono tu.

Nisaidieni mwenzenu nifanyaje niepuke na hili pepo jamani

Natanguliza shukrani
Binti mzuri mpe Bwn Yesu maisha yako uokoke yeye atakuponya na vishawishi vya shetani ibilisi.
Atakupa mume mzuri toka kwake, mpokee awe Bwn na mwokozi wa maisha yako!!
Kwa Bwn Yesu kuna mambo mengi mazuri saana!!
Bwn Akubariki!!
 
Umdau hapo juu umenena ukweli endelea kujitunza na kumwamini Mungu
 
Ndio maana vitabu vimeagiza tuishi nao kwa akili aiseeee.....
Kwani unadhani itatokea ukakuta mdada akatongoza humu kiurahisi?
Sana wataishia kuaibishwa na hawa wavulana ambao tuna pishana nao humu jamvini
Tena ashaelekea kibra "hata wa kumshika mkono tuuu"
 
Husiruhusu tamaa za mwili kukutawala. Utachezewa mpaka basi. Chagua marafiki sahihi utaepuka mengi
Atachezewa?? Mwenzako ameshaamua kuchezea, wala hatachezewa coz lust is killing her softly.
 
Back
Top Bottom