Nimeachwa, najikuta natamani kila mwanaume

Nimeachwa, najikuta natamani kila mwanaume

Kuwa makini tu na ngoma,maana hali kama hiyo itakufanya utoke na yoyote.pia penda kufanya mazoezi
 
Binti mzuri mpe Bwn Yesu maisha yako uokoke yeye atakuponya na vishawishi vya shetani ibilisi.
Atakupa mume mzuri toka kwake, mpokee awe Bwn na mwokozi wa maisha yako!!
Kwa Bwn Yesu kuna mambo mengi mazuri saana!!
Bwn Akubariki!!
Ubarikiwe mpendwa
 
Kwanza pole kwa tatizo hilo ila kitu muhimu cha kukusadia hapo ni kutengeneza mazingira ya kumsahau huyu mtu wako wa kwanza, pia husipende kutumia uzahifu wako kujilaishisha kwa wanaume kiasi hicho maana watakutumia tu na kukuacha tulia utapata mtu mwingine sahihi.
 
hali ya kawaida tu ni wewe kutuliza akili kujua unataka mwanaume wa aisna gani? au ingia kwenye mahusiano usiwe serious sana just have funny over baada ya muda utakuwa upo pouwa
Hahaaaa nisiwe serious hahaaaa, inawezekana ivi
 
Nisaidieni mwenzenu nifanyaje niepuke na hili pepo jamani

Natanguliza shukrani[/QUOTE]
Hebu acha uonevu dada,hilo si pepo bali Moyo ndo unahitaji Faraja.Ni PM kama hutojali
 
Chukua muda ata kidogo tu kusema na Mungu..Natumaini atakusaidia .atakueka sawa na utaishi vyema,,ila usitegemee msaada wa binadamu ..
 
Back
Top Bottom