LadyAJ
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 7,173
- 9,642
We mdogo wangu sijui hata nikushauri nn wewe huna tatizo la kuhitaji ushauri maana bora ungekuja kusema kuwa umeachana na mpenzi miaka mi 3 iliyopita kwa sababu kadha wa kadha na ungetaman sasa kuanza relationship nyingine ili tukushaur kutokana na mapungufu ya relationship iliyopita
Lakini unakuja kutuambia unatamani kila mwanaume,so what?? Tuamini kuwa ni Pepo?? No
Napata mashaka pia uliachwa iyo past 3yrs kwa sababu ya kutamani kila mwanaume,Mwanamke anayejitambua hawez kutamani kila mwanaume hata kama ameikosa ngono kwa miaka 7! We umeji tune ugonjwa mbaya sana ambao usipoangalia utakuja kukugharimu maisha yako yoote maana hata ukipata mwanaume utaendelea kutamani "wanaume",