Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio pepo mkuu,mwili wako unahitaji mambo ya kwenye video,ila pole kwa kusalitiwaHabari wana JF,
Mimi ni msichana wa miaka 24, nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tumedumu kwa miaka mitatu, bahati mbaya mwenzangu akawa ananichit kwa kuanzisha uhusiano na ex wake, na mpaka nilipokuja kugundua ikabidi tubroke na mimi.
Kwa hiyo kutokana na hali hiyo nimekuwa single kwa muda, tatizo langu sasa kiukweli namiss mapenzi mbaya, saizi nimekuwa navutiwa na wanaume ovyoovyo yani natamani hata anishike mkono tu.
Nisaidieni mwenzenu nifanyaje niepuke na hili pepo jamani
Natanguliza shukrani
Asante mkuuSio pepo mkuu,mwili wako unahitaji mambo ya kwenye video,ila pole kwa kusalitiwa
Habari wana JF,
Mimi ni msichana wa miaka 24, nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tumedumu kwa miaka mitatu, bahati mbaya mwenzangu akawa ananichit kwa kuanzisha uhusiano na ex wake, na mpaka nilipokuja kugundua ikabidi tubroke na mimi.
Kwa hiyo kutokana na hali hiyo nimekuwa single kwa muda, tatizo langu sasa kiukweli namiss mapenzi mbaya, saizi nimekuwa navutiwa na wanaume ovyoovyo yani natamani hata anishike mkono tu.
Nisaidieni mwenzenu nifanyaje niepuke na hili pepo jamani
Natanguliza shukrani
Bila shaka wameshakuja huko PM.Habari wana JF,

Hapana mrembo,mimi nataka nimbembeleze halafu ikibidi naweka ndani kabisa,maana hakuna namna ni kuku wa kubanika.Hahahaaa ...dhambi nyeeee! Hebu muache mtoto wa watu,mtamtia mimba kisha mumuache single mother.
Nipo mrembo,hujaniona muda mrefu sababu ya ujinga wangu na kuwakosea adabu warembo wa jamii forum,ni kwamba nilikuwa namtania tu mrembo Skyeclat huku nikimwambia ameniangusha na ameniumiza moyo wangu na kwa nini hanionei huruma mie mwenzie nataka kuwekeza kwake,heeh mwenzangu hakupenda akani report nikala ban mwezi mzima mamii,hata hivyo nimekoma sintarudia na nitamuomba anisamehe, yule mrembo ni msaarabu kama wewe mamii.Rafiki upo! Sijakuona muda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipo mrembo,hujaniona muda mrefu sababu ya ujinga wangu na kuwakosea adabu warembo wa jamii forum,ni kwamba nilikuwa namtania tu mrembo Skyeclat huku nikimwambia ameniangusha na ameniumiza moyo wangu na kwa nini hanionei huruma mie mwenzie nataka kuwekeza kwake,heeh mwenzangu hakupenda akani report nikala ban mwezi mzima mamii,hata hivyo nimekoma sintarudia na nitamuomba anisamehe, yule mrembo ni msaarabu kama wewe mamii.
Hata wewe mrembo Daby unisamehe mamii,nilipenda kuchangamsha wanajamii ila nili cross boundary.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ata enjoy vipi kuwa single alone wakati hapati mgegedo au unataka mwenzio ajichue na maji?[emoji15] not the best of advise if you ask me. Ukiufuata huu ushauri mwisho wa siku you will feel used and worthless. Just take it easy, enjoy being single along the way you may discover that being single isn't so bad afterall.
Vipi mambo huko Chuga?,na pia je ulishapata wa kuwekeza kwako mamii?,maana mimi umenichomolea,au kwa sababu nauza karanga mtaani?.Rafiki upo! Sijakuona muda