Nimeachwa, najikuta natamani kila mwanaume

Nimeachwa, najikuta natamani kila mwanaume

Habari wana JF,

Mimi ni msichana wa miaka 24, nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tumedumu kwa miaka mitatu, bahati mbaya mwenzangu akawa ananichit kwa kuanzisha uhusiano na ex wake, na mpaka nilipokuja kugundua ikabidi tubroke na mimi.

Kwa hiyo kutokana na hali hiyo nimekuwa single kwa muda, tatizo langu sasa kiukweli namiss mapenzi mbaya, saizi nimekuwa navutiwa na wanaume ovyoovyo yani natamani hata anishike mkono tu.

Nisaidieni mwenzenu nifanyaje niepuke na hili pepo jamani

Natanguliza shukrani
Huyu dada namfahamu!
 
daah unatatizo kama langu ila wewe wa kike mimi wa kiume. bora wewe wa kike kwangu nahisi kama ugonjwa kabisa.
 
Kuachwa na mpenzi halafu kutamani kila mwanaume hapo sijaelewa vina husiana vipi,

[HASHTAG]#Promo[/HASHTAG]@Work#
 
Habari wana JF,

Mimi ni msichana wa miaka 24, nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tumedumu kwa miaka mitatu, bahati mbaya mwenzangu akawa ananichit kwa kuanzisha uhusiano na ex wake, na mpaka nilipokuja kugundua ikabidi tubroke na mimi.

Kwa hiyo kutokana na hali hiyo nimekuwa single kwa muda, tatizo langu sasa kiukweli namiss mapenzi mbaya, saizi nimekuwa navutiwa na wanaume ovyoovyo yani natamani hata anishike mkono tu.

Nisaidieni mwenzenu nifanyaje niepuke na hili pepo jamani

Natanguliza shukrani
Hebu jifanye huwazi mavitu hayo,concentrate katika majukumu yako jifanye kama hujawahi kupata hisia hizo
 
In PM ili niweze kukupa ushauri mzuri Mkuu. Wewe utakuwa wa kumi kati ya wadada niliyowasaidia tatizo kama lako.

Kila siku wamekuwa wakipiga simu wanipe shukurani.

Tafadhali Usipuuze Mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa hyo nikikupm nijitambulishaje
 
Hata Mimi nimeachwa nina hamu na kila mwanamke natamani niwe nae basi njoo Kwangu wote tuna tatizo moja tuliwazane katika magumu yanayotusibu
 
Kuachwa na mpenzi halafu kutamani kila mwanaume hapo sijaelewa vina husiana vipi,

[HASHTAG]#Promo[/HASHTAG]@Work#
uhusiano ni kwamba alizoeshwa sana dyudyu now uvumilivu unamshinda, mbona inahitaji elimu ndogo tuu kuelewa hapoo
 
Afu weweeeee
Sio hivyo mamii,unajua sisi wengine tuna ngekewa yaani ni kugusa tu mambo gedegede lainiiiiiiiiii au vipi,nakaribia kula nyama ya njiwa wa kubanika,maana nataka nimliwaze nimpe ile kitu roho inataka kuliko aje aangukie kwa mabazazi maana ana ugwadu.
 
Back
Top Bottom