huku kwetu
Senior Member
- Sep 7, 2016
- 146
- 195
Ndio maana vitabu vimeagiza tuishi nao kwa akili aiseeee.....Umeona eeeeeh? Hili tangazo limekuja kivingine saaana kuistukia hiii lazima uwe great thinker [emoji1] [emoji1] !
Binti mzuri mpe Bwn Yesu maisha yako uokoke yeye atakuponya na vishawishi vya shetani ibilisi.Habari wana JF,
Mimi ni msichana wa miaka 24, nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tumedumu kwa miaka mitatu, bahati mbaya mwenzangu akawa ananichit kwa kuanzisha uhusiano na ex wake, na mpaka nilipokuja kugundua ikabidi tubroke na mimi.
Kwa hiyo kutokana na hali hiyo nimekuwa single kwa muda, tatizo langu sasa kiukweli namiss mapenzi mbaya, saizi nimekuwa navutiwa na wanaume ovyoovyo yani natamani hata anishike mkono tu.
Nisaidieni mwenzenu nifanyaje niepuke na hili pepo jamani
Natanguliza shukrani
Tena ashaelekea kibra "hata wa kumshika mkono tuuu"Ndio maana vitabu vimeagiza tuishi nao kwa akili aiseeee.....
Kwani unadhani itatokea ukakuta mdada akatongoza humu kiurahisi?
Sana wataishia kuaibishwa na hawa wavulana ambao tuna pishana nao humu jamvini
Atachezewa?? Mwenzako ameshaamua kuchezea, wala hatachezewa coz lust is killing her softly.Husiruhusu tamaa za mwili kukutawala. Utachezewa mpaka basi. Chagua marafiki sahihi utaepuka mengi
Nashukuru kwa ushauriUsipoangalia utajikuta unaingia kwenye matatizo makubwa sana...Give yourself a break. Hakuna mahusiano mabaya kama yakuingia kwa kukurupuka.