Nimeachwa, najikuta natamani kila mwanaume

Soon utapata unachokitafuta, muombe sana mungu usiwe unanyemelewa na kipepo cha umalaya , maana una stress za mapenz na unataka kumkomoa jamaa.
 
UNA NYOTA YA UKIMWI....
 
Unataka tukukwamue na hiyo hali
 
Njoo nitakushika mkono bure popote ufurahie maisha ya duniani
 
Kwa hiyo kutokana na hali hiyo nimekuwa single kwa muda, tatizo langu sasa kiukweli namiss mapenzi mbaya, saizi nimekuwa navutiwa na wanaume ovyoovyo yani natamani hata anishike mkono tu.
Bado uko single dada wema
 
Njoo unishike mkono na mimi tafadhali
 
jihadharini, wengi wa wanaoandika hivi ni wanaume, wanajifanya wanawake ukiingia mkenge wanaomba nauli au pesa kabla hamjakutana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…