Tetesi: Nimeambiwa ni bilioni 300 zilitumika kuweka mabango ya Rais Samia nchi nzima

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Mnashinda salama mna raha gani humu jukwaani?

Haya ndugu zangu, nimepewa info kuwa yale mabango ya kumsifia boss kuwa anaupiga mwingi yaliyojaa kuanzia kila kona ya DSM na mikoani kila kona yamewekwa yamegharimu bilioni 300.

Tukiwaambia hafai tunaonekana hatuna adabu. Yaani unapeleka bilioni 300 kwenye mabango huku watu wako wananuka shida.

Yaani roho yangu inaniuma sana. Sijui niseme nini imefika mahali nimekua na chuki kali juu ya haya yanayoendelea kwa sasa.

Unatumia vipi bilioni 300 kuweka mabango ya kusifia ilhali watu wanakufa bila dawa hospitalini? Mungu tulikufanyia nini sisi? Daaaah!!
 
Hii nchi daaah ni yakiwaki Sana billion 300 kujinadi ilhali mtaani watu wanakosa hata buku la sabun
 
kimsboy watanzania awareness yao ni ndogo katika kujua wajibu wa serikali kwao, wengi wanaamini serikali kutelekeza wajibu wake ni hisani kwao.

Hata likiibuka swala la upigaji utaona watakaoreact ni wachache tu 🤔hasa Kanda flan ambayo huduma za kijamii tayar zimesambaa sana ila huwezi ona watu kutoka kigoma, katavi, mpanda na kwa kina mzindakaya wakireact
 
Astaghafilullah !
 
Watakuwa wamemdangaya
 
Tukiwaambia hafai tunaonekana hatuna adabu. Yaani unapeleka bilioni 300 kwenye mabango huku watu wako wananuka shida.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…