myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Aisee....Sisi ndio tunamkosea Mungu kwa ujinga wetu...Ni kweli sisi ni wajinga lakini mtu asizidishe hadi anafika kwako kunya juu ya kitanda chako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee....Sisi ndio tunamkosea Mungu kwa ujinga wetu...Ni kweli sisi ni wajinga lakini mtu asizidishe hadi anafika kwako kunya juu ya kitanda chako
Hii nchi daaah ni yakiwaki Sana billion 300 kujinadi ilhali mtaani watu wanakosa hata buku laNdiyo maana MUNGU kamuumbua mchana kweupe kwa issue ya bandari....
Tabia ya watanzania ni kubeba Kila wanaloambiwa bila ya kufanya research yaani wanaendaenda tu....Sasa mkuu umeambiwa tu na wewe pasipo kufanya tathmini yako unakurupuka kusema bilioni 300 kweli?
Hivi kweli bil 300 zitumike kwenye mabango?
Yes, mabango yanaweza kuwa na gharama lakini sio ya 300 bilioni.
MUNGU ameamua kuingilia Kati.kimsboy watanzania awareness yao ni ndogo katika kujua wajibu wa serikali kwao, wengi wanaamini serikali kutelekeza wajibu wake ni hisani kwao.
Hata likiibuka swala la upigaji utaona watakaoreact ni wachache tu [emoji848]hasa Kanda flan ambayo huduma za kijamii tayar zimesambaa sana ila huwezi ona watu kutoka kigoma, katavi, mpanda na kwa kina mzindakaya wakireact
Bora aliyekuwa anaandika kwenye mawe!!! gharama mark penUnatumia vipi bilioni 300 kuweka mabango ya kusifia ilhali watu wanakufa bila dawa
Uwanja Wa Mkapa bil. Zitatumika Kukarabati Nini?Bajeti ya uchaguzi mzima mpaka mtu anashinda uraisi Marekani inachezea Bilioni 700.
Ni ngumu mtu Tanzania atumie bilioni 300 kwenye matangazo. Nyingi sana hiyo. Itakuwa wamekudanganya
Hizo Bil 300 hata wakiwagawia hazitoshi bora zikae kwenye mabango kila mtu atayaona.Mnashinda salama mna raha gani humu jukwaani?
Haya ndugu zangu, nimepewa info kuwa yale mabango ya kumsifia boss kuwa anaupiga mwingi yaliyojaa kuanzia kila kona ya DSM na mikoani kila kona yamewekwa yamegharimu bilioni 300.
Tukiwaambia hafai tunaonekana hatuna adabu. Yaani unapeleka bilioni 300 kwenye mabango huku watu wako wananuka shida.
Yaani roho yangu inaniuma sana. Sijui niseme nini imefika mahali nimekua na chuki kali juu ya haya yanayoendelea kwa sasa.
Unatumia vipi bilioni 300 kuweka mabango ya kusifia ilhali watu wanakufa bila dawa hospitalini? Mungu tulikufanyia nini sisi? Daaaah!!
Mkuu, wote hao wamefanya makosa na si uungwana kwa nchi iliyojaa matatizo lukukiIla hata mwendazake nae alikuwa amesambaza sana mabango,na kuna yale ya bwana Mwigulu
Kwani haupigi mwingi ?Mnashinda salama mna raha gani humu jukwaani?
Haya ndugu zangu, nimepewa info kuwa yale mabango ya kumsifia boss kuwa anaupiga mwingi yaliyojaa kuanzia kila kona ya DSM na mikoani kila kona yamewekwa yamegharimu bilioni 300.
Tukiwaambia hafai tunaonekana hatuna adabu. Yaani unapeleka bilioni 300 kwenye mabango huku watu wako wananuka shida.
Yaani roho yangu inaniuma sana. Sijui niseme nini imefika mahali nimekua na chuki kali juu ya haya yanayoendelea kwa sasa.
Unatumia vipi bilioni 300 kuweka mabango ya kusifia ilhali watu wanakufa bila dawa hospitalini? Mungu tulikufanyia nini sisi? Daaaah!!
Haya mabango kila nikiyaona hata bila ya kujalisha gharama huwa yananifikirisha sana. Umuhimu wake kwa maisha ya kila siku ni nini? Nani anayeyagharamia? Kama hayo maendeleo yamefanyika nadhani walengwa watakuwa wameyaona, kwa nini tena gharama zote hizo?Sasa mkuu umeambiwa tu na wewe pasipo kufanya tathmini yako unakurupuka kusema bilioni 300 kweli?
Hivi kweli bil 300 zitumike kwenye mabango?
Yes, mabango yanaweza kuwa na gharama lakini sio ya 300 bilioni.
Wanaomshauri ndo tuwashukuru sana maana nimeona wazi kabisaa wanamshauri kimkakati kwa malengo wanayoyajua waoMnashinda salama mna raha gani humu jukwaani?
Haya ndugu zangu, nimepewa info kuwa yale mabango ya kumsifia boss kuwa anaupiga mwingi yaliyojaa kuanzia kila kona ya DSM na mikoani kila kona yamewekwa yamegharimu bilioni 300.
Tukiwaambia hafai tunaonekana hatuna adabu. Yaani unapeleka bilioni 300 kwenye mabango huku watu wako wananuka shida.
Yaani roho yangu inaniuma sana. Sijui niseme nini imefika mahali nimekua na chuki kali juu ya haya yanayoendelea kwa sasa.
Unatumia vipi bilioni 300 kuweka mabango ya kusifia ilhali watu wanakufa bila dawa hospitalini? Mungu tulikufanyia nini sisi? Daaaah!!
Hiyo hela nyingi mno tena mnooo kwa mabango tu, hii habari ina harufu ya uzushi.Hii nchi daaah ni yakiwaki Sana billion 300 kujinadi ilhali mtaani watu wanakosa hata buku la sabun
Miradi ya watu hiyo, matokeo ya siasa kuhodhiwa na chama kimoja ndio haya.Haya mabango kila nikiyaona hata bila ya kujalisha gharama huwa yananifikirisha sana. Umuhimu wake kwa maisha ya kila siku ni nini? Nani anayeyagharamia? Kama hayo maendeleo yamefanyika nadhani walengwa watakuwa wameyaona, kwa nini tena gharama zote hizo?
Kumbuka yeye mpaka tbc alikua na kishindo Cha awamu ya 5Ila hata mwendazake nae alikuwa amesambaza sana mabango,na kuna yale ya bwana Mwigulu
TUMSUBIRI CAG ATHIBITISHEMnashinda salama mna raha gani humu jukwaani?
Haya ndugu zangu, nimepewa info kuwa yale mabango ya kumsifia boss kuwa anaupiga mwingi yaliyojaa kuanzia kila kona ya DSM na mikoani kila kona yamewekwa yamegharimu bilioni 300.
Tukiwaambia hafai tunaonekana hatuna adabu. Yaani unapeleka bilioni 300 kwenye mabango huku watu wako wananuka shida.
Yaani roho yangu inaniuma sana. Sijui niseme nini imefika mahali nimekua na chuki kali juu ya haya yanayoendelea kwa sasa.
Unatumia vipi bilioni 300 kuweka mabango ya kusifia ilhali watu wanakufa bila dawa hospitalini? Mungu tulikufanyia nini sisi? Daaaah!!
TakbriiiiSubhanallah.....🙊
OnyeshaKampeni binafsi,sio gharama za serikali