Craig
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 1,512
- 2,712
Mkuu Hiyo Bil 300 Ni pesa nyingi mno, Labda nikupe mfano wa macho ya nyama. Morocco Square mradi wa NHC pale Morocco Ni Bil.500. Mradi wa Magomeni quarter ni Bil..52.
Mimi sijasomea uhasibu Wala Mahesabu na Sina maslahi yoyote Katika kuongelea hili.. Ila Bil..300. hiyo Ni pesa unajengea ukoo wako wote nyumba japo ya milioni 20 kwa kila mmoja.