Hizo fedha zingemaliza kabisa tatizo la madawatiMnashinda salama mna raha gani humu jukwaani?
Haya ndugu zangu, nimepewa info kuwa yale mabango ya kumsifia boss kuwa anaupiga mwingi yaliyojaa kuanzia kila kona ya DSM na mikoani kila kona yamewekwa yamegharimu bilioni 300.
Tukiwaambia hafai tunaonekana hatuna adabu. Yaani unapeleka bilioni 300 kwenye mabango huku watu wako wananuka shida.
Yaani roho yangu inaniuma sana. Sijui niseme nini imefika mahali nimekua na chuki kali juu ya haya yanayoendelea kwa sasa.
Unatumia vipi bilioni 300 kuweka mabango ya kusifia ilhali watu wanakufa bila dawa hospitalini? Mungu tulikufanyia nini sisi? Daaaah!!
Marekani wanatumia application kwenye uchaguzi ndiyo maana wanaanza kupiga kura mwezi mmoja kabla nikama unavyoenda kwenye ATM, hakuna makarani wa kusimamia uchaguzi kama hukuBajeti ya uchaguzi mzima mpaka mtu anashinda uraisi Marekani inachezea Bilioni 700.
Ni ngumu mtu Tanzania atumie bilioni 300 kwenye matangazo. Nyingi sana hiyo. Itakuwa wamekudanganya
Bango moja siyo chini ya lakini 3 pamoja na rushwa, kuna kata, mitaa na nguzo ngapi?Sasa mkuu umeambiwa tu na wewe pasipo kufanya tathmini yako unakurupuka kusema bilioni 300 kweli?
Hivi kweli bil 300 zitumike kwenye mabango?
Yes, mabango yanaweza kuwa na gharama lakini sio ya 300 bilioni.
Huyu maza ni mzigo mzito sana.Mnashinda salama mna raha gani humu jukwaani?
Haya ndugu zangu, nimepewa info kuwa yale mabango ya kumsifia boss kuwa anaupiga mwingi yaliyojaa kuanzia kila kona ya DSM na mikoani kila kona yamewekwa yamegharimu bilioni 300.
Tukiwaambia hafai tunaonekana hatuna adabu. Yaani unapeleka bilioni 300 kwenye mabango huku watu wako wananuka shida.
Yaani roho yangu inaniuma sana. Sijui niseme nini imefika mahali nimekua na chuki kali juu ya haya yanayoendelea kwa sasa.
Unatumia vipi bilioni 300 kuweka mabango ya kusifia ilhali watu wanakufa bila dawa hospitalini? Mungu tulikufanyia nini sisi? Daaaah!!
kimsboy watanzania awareness yao ni ndogo katika kujua wajibu wa serikali kwao, wengi wanaamini serikali kutelekeza wajibu wake ni hisani kwao.
Hata likiibuka swala la upigaji utaona watakaoreact ni wachache tu [emoji848]hasa Kanda flan ambayo huduma za kijamii tayar zimesambaa sana ila huwezi ona watu kutoka kigoma, katavi, mpanda na kwa kina mzindakaya wakireact
Unaijua hata billion 1 tu wewe!Mnashinda salama mna raha gani humu jukwaani?
Haya ndugu zangu, nimepewa info kuwa yale mabango ya kumsifia boss kuwa anaupiga mwingi yaliyojaa kuanzia kila kona ya DSM na mikoani kila kona yamewekwa yamegharimu bilioni 300.
Tukiwaambia hafai tunaonekana hatuna adabu. Yaani unapeleka bilioni 300 kwenye mabango huku watu wako wananuka shida.
Yaani roho yangu inaniuma sana. Sijui niseme nini imefika mahali nimekua na chuki kali juu ya haya yanayoendelea kwa sasa.
Unatumia vipi bilioni 300 kuweka mabango ya kusifia ilhali watu wanakufa bila dawa hospitalini? Mungu tulikufanyia nini sisi? Daaaah!!
Hata kama ni wizi, hv kweli mnaamini 300b kwa mabango!Hii nchi daaah ni yakiwaki Sana billion 300 kujinadi ilhali mtaani watu wanakosa hata buku la sabun
Huyo aliyeleta habari hii ndo atuthibitishie huo uchunguzi sio eti kaambiwa tu...Ww umechunguza uksjua ni bei gani
Hoja hupingwa kwa hoja..Sasa mkuu umeambiwa tu na wewe pasipo kufanya tathmini yako unakurupuka kusema bilioni 300 kweli?
Hivi kweli bil 300 zitumike kwenye mabango?
Yes, mabango yanaweza kuwa na gharama lakini sio ya 300 bilioni.
Ndio ujue juwa kuna kituko huko juu. Kizuri chajiuza na kibaya chajitembezaMnashinda salama mna raha gani humu jukwaani?
Haya ndugu zangu, nimepewa info kuwa yale mabango ya kumsifia boss kuwa anaupiga mwingi yaliyojaa kuanzia kila kona ya DSM na mikoani kila kona yamewekwa yamegharimu bilioni 300.
Tukiwaambia hafai tunaonekana hatuna adabu. Yaani unapeleka bilioni 300 kwenye mabango huku watu wako wananuka shida.
Yaani roho yangu inaniuma sana. Sijui niseme nini imefika mahali nimekua na chuki kali juu ya haya yanayoendelea kwa sasa.
Unatumia vipi bilioni 300 kuweka mabango ya kusifia ilhali watu wanakufa bila dawa hospitalini? Mungu tulikufanyia nini sisi? Daaaah!!
Kam mtu anataka kuuza bandari hashindwi kutoa b300 kwaajil ya kujnadHata kama ni wizi, hv kweli mnaamini 300b kwa mabango!
Hebu tumieni akili japo kidogo
Kampeni binafsi,sio gharama za serikaliMarekani wanatumia application kwenye uchaguzi ndiyo maana wanaanza kupiga kura mwezi mmoja kabla nikama unavyoenda kwenye ATM, hakuna makarani wa kusimamia uchaguzi kama huku
Hela imetoka mfukoni mwake au sirikalini?Mnashinda salama mna raha gani humu jukwaani?
Haya ndugu zangu, nimepewa info kuwa yale mabango ya kumsifia boss kuwa anaupiga mwingi yaliyojaa kuanzia kila kona ya DSM na mikoani kila kona yamewekwa yamegharimu bilioni 300.
Tukiwaambia hafai tunaonekana hatuna adabu. Yaani unapeleka bilioni 300 kwenye mabango huku watu wako wananuka shida.
Yaani roho yangu inaniuma sana. Sijui niseme nini imefika mahali nimekua na chuki kali juu ya haya yanayoendelea kwa sasa.
Unatumia vipi bilioni 300 kuweka mabango ya kusifia ilhali watu wanakufa bila dawa hospitalini? Mungu tulikufanyia nini sisi? Daaaah!!
Bil. 31 zinakwenda Kukarabati Nini pale kwenye uwanja Wa Mkapa?Sasa mkuu umeambiwa tu na wewe pasipo kufanya tathmini yako unakurupuka kusema bilioni 300 kweli?
Hivi kweli bil 300 zitumike kwenye mabango?
Yes, mabango yanaweza kuwa na gharama lakini sio ya 300 bilioni.
🤣🤣🤣Subhanallah.....🙊