Tetesi: Nimeambiwa ni bilioni 300 zilitumika kuweka mabango ya Rais Samia nchi nzima

Sasa mkuu umeambiwa tu na wewe pasipo kufanya tathmini yako unakurupuka kusema bilioni 300 kweli?

Hivi kweli bil 300 zitumike kwenye mabango?

Yes, mabango yanaweza kuwa na gharama lakini sio ya 300 bilioni.
Tabia ya watanzania ni kubeba Kila wanaloambiwa bila ya kufanya research yaani wanaendaenda tu....
 
MUNGU ameamua kuingilia Kati.
Kuna Kila dalili ukombozi utaanzia Mbeya Kwa Wanyakyusa.

Alianza Mwakyembe kujitokeza adharani Kupinga ushoga unaoenezwa Kwa kutumia fedha nyingi kutoka NDANI na nje ya nchi huku Serikali ikiwa imekaa kimya Kwa kuogopa kunyimwa misaada.

Lakini Kuna yule Askofu anayezunguka kwenye mikutano ya Kudai Katiba Mpya.
Kuna mwingine Anaitwa Mbarikiwa .

Mbeya watawaamsha waliolala SIO muda Mrefu.
Mungu anafanya kazi na watu jasiri.

Hata teknolojia na maarifa ni mafunuo ya kiroho Kwa watu jasiri wenye maono maakibwa ya kuubadilisha ulimwengu. Ni watu wachache lakini wasio na woga na hawakati tamaa.

Tukiamua tunaweza .
Jambo la kwanza ni kutafuta watu Milioni Tano Nchi Nzima na kuchangia elfu mbili mpaka Kumi Kwa mawakili na wanaharakati Ili kuwalinda na kuzitunza familia Zao.
Tukichelewa Mafisadi yataunda vikosi vya kuteka watu na vikundi vya kigaidi na kuwanyanganya mawakili leseni zao Ili wawe na woga kutokana na kuingia kwenye maisha magumu na Umaskini Wa kukosa vipato.

Tuwachangie Kwa hamasa kubwa kuokoa nchi Yetu kama wanachama Wa Yanga walivyoamua wakati Fulani kuiokoa timu yao.

Tayari nchi imeshavamiwa na Wezi Toka nje na wamefanikiwa kupenyeza fedha nyingi Ili kuhalalisha uvamizi Wao Kwa kuwatumia Waandishi Wa habari na wasanii na makada feki Wa CCM.
 
Bajeti ya uchaguzi mzima mpaka mtu anashinda uraisi Marekani inachezea Bilioni 700.

Ni ngumu mtu Tanzania atumie bilioni 300 kwenye matangazo. Nyingi sana hiyo. Itakuwa wamekudanganya
Uwanja Wa Mkapa bil. Zitatumika Kukarabati Nini?

Hawa Jamaa ni Wezi .

Kuna Kada Fulani waligawa tisheti tu zenye thamani ya elfu 30 Badala ya elfu Kumi.

Hapo Bango Moja linatengenezwa Kwa million Moja Badala ya laki tatu.
Je, Yapo mangapi nchi Nzima?

Wapigaji Hata kwenye ujenzi ni Hivyo Hivyo . Choo Cha shimo kinaweza kujengwa kwa gharama ya juu kuliko uhalisia .

JPM alifanikiwa kudhibi Matumizi ya juu lakini Kwa Sasa watu wamerudi kwenye upigaji .
 
Hizo Bil 300 hata wakiwagawia hazitoshi bora zikae kwenye mabango kila mtu atayaona.
 
Kwani haupigi mwingi ?
 
Sasa mkuu umeambiwa tu na wewe pasipo kufanya tathmini yako unakurupuka kusema bilioni 300 kweli?

Hivi kweli bil 300 zitumike kwenye mabango?

Yes, mabango yanaweza kuwa na gharama lakini sio ya 300 bilioni.
Haya mabango kila nikiyaona hata bila ya kujalisha gharama huwa yananifikirisha sana. Umuhimu wake kwa maisha ya kila siku ni nini? Nani anayeyagharamia? Kama hayo maendeleo yamefanyika nadhani walengwa watakuwa wameyaona, kwa nini tena gharama zote hizo?
 
Wanaomshauri ndo tuwashukuru sana maana nimeona wazi kabisaa wanamshauri kimkakati kwa malengo wanayoyajua wao
 
Hii nchi daaah ni yakiwaki Sana billion 300 kujinadi ilhali mtaani watu wanakosa hata buku la sabun
Hiyo hela nyingi mno tena mnooo kwa mabango tu, hii habari ina harufu ya uzushi.
 
Miradi ya watu hiyo, matokeo ya siasa kuhodhiwa na chama kimoja ndio haya.
 
Na sio kufanya tu jambo ambalo halina Tija..., Nina uhakika ufanyaji huo ungeweza kugharimu robo ya Pesa zilizotumika.....

Wanachofanya hawa walamba asali ni kuendelea kupanda, sumu, na kuiwekea mbolea; sad enough hilo janga wanalochuma na sisi tusiohusika itabidi tulichukue
 
Wamekwambia kidogo, ni trillioni 8....haya waambie hivyo wenzako!!
 
TUMSUBIRI CAG ATHIBITISHE
 
Hata yangekuwa yanatengenezwa bure yanamsaidia nn mtanganyika ? Kuna haja ya kuweka matangazo wakati wanadai anaupiga mwingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…