Tetesi: Nimeambiwa ni bilioni 300 zilitumika kuweka mabango ya Rais Samia nchi nzima

Mabango yenyewe hayajawekwa hadi leo, mengine wamaimika nguzo hazina majina wameacha tu hivo siku hiz watu wanayavunja wanatengenezea mageti
 
Sasa mkuu umeambiwa tu na wewe pasipo kufanya tathmini yako unakurupuka kusema bilioni 300 kweli?

Hivi kweli bil 300 zitumike kwenye mabango?

Yes, mabango yanaweza kuwa na gharama lakini sio ya 300 bilioni.
Yatakuwa zaidi ya hiyo pesa.
Hebu jaribu kufikiri tenda ya hiyo kazi.
1.Kuyabuni pamoja na meseji zake. 2.Kuchapicha
3.Kuyasambaza kila mkoa, wilaya, mitaa, etc.
4.Kukodi zile fremu za kuyatundikia
5.Kulipia Halmashauri za nchi nzima ili kubandika matangazo ya mabango. (Hata kama Hawa wezi hawajalipia, gharama ya kulipa ni pesa zilizopaswa kulipwa, hivyo zilizoibwa kwa njia ya kukwepa kulipia huduma au WIZI)
5.Kuyafunga mabango (installation) nchi nzima.

GHARAMA HIZO ZOTR NI ZAIDI YA BILION 300. NI WIZI WA KIMATAIFA. WEZI WA KIWANGO HIKI HATA WAKIPIGWA RISASI NI HALALI YAO.
 
Nchi imekabidhiwa matapeli waiendeshe. Usitarajie waweze chochote zaidi ya wizi na utapeli.
 
Mabango yenyewe hayajawekwa hadi leo, mengine wamaimika nguzo hazina majina wameacha tu hivo siku hiz watu wanayavunja wanatengenezea mageti
Afadhali nianze kuhamasisha kampeni ya kuyapiga X nchi nzima. Mimi nimeshachagua mabango 10 ya kuyapiga X yaliyopo mtaani kwangu.

Kila mwenye uzalendo na nchi yake atafute mabango matano ayapige X kwa kutumia makapeni ya wino mwekundu.
 
Bajeti ya uchaguzi mzima mpaka mtu anashinda uraisi Marekani inachezea Bilioni 700.

Ni ngumu mtu Tanzania atumie bilioni 300 kwenye matangazo. Nyingi sana hiyo. Itakuwa wamekudanganya
Mkuu humo pia zipo walizogawana wakubwa,hapo imetumika Bilioni 100 zingine zimewekwa kwa mfuko.Hii ndiyo Tanzania iliyo chini Mafia of Msoga Kingdom!
 
Mkuu hapo ndiyo tusha pigwa tayari.Wewe umesahau ripoti ya CAG alivyobainisha kuwa TRC walikataa mzabuni wa Bilioni 400 na wakamchukua mzabuni wa trillion 1.Wewe unadhani hapo hatukupigwa?
Unashangaa Bilioni 300,Hela ya kawaida kabisa kupigwa!
 
Ww uafikiri lile bango ni shi 1m moja
Ujue wanashindwa kuelewa kuwa kuna tofauti kati kipeperushi na Bango(Billboard) tena lenye taa na lipo katika strategic location kama roundabouts.Yale Mabango ata milioni 100 inafika kwa Bango moja!
 
Hii ya mabango hata mie nishasikia. Mwaka 2020 mabeberu walichanga 200m/= kwa mabango na vipeperushi na vibonzo wa tundulissu Mgombea urais. Ilibidi CAG Professor Musa Assad awalime audit query CHADEMA wajieleze wakabaki kumung'unyamung'unya maneno hiyo query haijajibiwa hadi leo.
 
Wanaiba mpaka kura.....

Hakuna wa kuwafanya lolote
 
Wahuni hapo washaongeza zao juu.

Uchaguzi 2025, wajanja watatajirika sana kupitia hela za CCM maana mama ameshatishwa naye katishika, sasa anapigwa hela.
 
Labda ni milioni 300, na siyo bilioni 300. Lakini hata milioni 300 kwa picha ambazo hazina msaada wowote katika maendeleo ya nchi au watu, ni nyingi sana.
 
Uje pia na matokeo chanya ya safari nyingi nje za Samia.

Uje pia na hoja kuhusu alivyoweza kurudisha uhusiano wa Tanzania na EU uliokuwa umekufa kabisa kwa kiburi na ubishi wa JPM.

Hizo bilioni 300 ni ndogo sana kwa makusanyo ya miezi mitatu ya TRA. Na kumbuka kuwa CCM ndio wenye ilani ya uchaguzi wanajenga zahanati na vituo vya afya kila kona nchini.
 
Sasa mkuu umeambiwa tu na wewe pasipo kufanya tathmini yako unakurupuka kusema bilioni 300 kweli?

Hivi kweli bil 300 zitumike kwenye mabango?

Yes, mabango yanaweza kuwa na gharama lakini sio ya 300 bilioni.
Yeah, nafikiri ni 300m/=.
 
Ni mikoa ya watu Mbumbumbu wa kupindukia mipaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…