round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 345
- 1,145
Wakuu habari zenu
Kazi nayofanya nimezunguka nimeishi miji kadhaa kila baada ya mwaka nahamishwa, kwa sasa nipo Njombe
mwaka huu nimefikia vigezo vya kupata kituo cha kudumu, nafasi zilizo wazi ni Singida mjini au Tanga mjini
Nitakohamia ndio maisha yangu rasmi yanakohamia pamoja na familia yangu.
Kati ya vigezo navyovitilia mkazo ni
mji uwe tulivu
Usalama wa mji
Huduma za maji na umeme
Ustaarabu wa watu
Upatikanaji wa vyakula salama kwa bei rafiki masokoni
Gharama za ujenzi (nataka kujenga nimechoka kupanga)
n.k.