Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oohh basi yawezekana labda ni kwenye siku maalum tu, maana mimi nilikuwepo wakati wanajiandaa kumpokea mama, kuna sehemu nilipita usiku nikaona zimechangamka sanaTanga Kuna fursa Gani potential za Muda wote? Kwanza sasa hivi ndio vyumba vimepanda Bei mpka elfu 80 Self, sababu ya Wageni wengi kwenye mradi wa BBN, tena hapo ni Sahare Raskazone, Hizo sehemu unazosema usafiri wa Hadi sa nane ni siku na siku kwenye Vishughuli, ni hapo bistro na likely, Gari za Tangabeach,Donge,Mikanjuni-Raskazone sa mbili na nusu zinaenda kulala, kadhalika na za kange ndio umeumia, Wadigo na wazigua kwenye biashara hawana haraka kabisa kukujibu sio riziki nenda kwingine, kawaida sana labda wasambaa,
Hizi tarehe za ugeni ndio wamejifanya na haraka na kuchanganka na wageni, lakini Bado mamwinyi anayefungua duka sa 12 mpka sa 1 ni mchaga tu na mpare, Wengine wote sa mbili na nusu mpk tatu. Ukiwa na haraka Tanga utagombana na wenyeji.Oohh basi yawezekana labda ni kwenye siku maalum tu, maana mimi nilikuwepo wakati wanajiandaa kumpokea mama, kuna sehemu nilipita usiku nikaona zimechangamka sana
UYO HAPAJUI VIZURI TANGA ATAKUWA ALIENDA SABASABA PALE MITAAA YA MALAYA BEN BISTRO AU TANGA PAZURI NDO WANAKESHA ILAA MJI NI UNA JOTO BALAAA NA SHUGHULI ZOTE UISHA MAPEMA WATU WANAENDA KULALA,WATU HAWAIJUI VIZURI TANGA WANAAROPOKA TUTanga Kuna fursa Gani potential za Muda wote? Kwanza sasa hivi ndio vyumba vimepanda Bei mpka elfu 80 Self, sababu ya Wageni wengi kwenye mradi wa BBN, tena hapo ni Sahare Raskazone, Hizo sehemu unazosema usafiri wa Hadi sa nane ni siku na siku kwenye Vishughuli, ni hapo bistro na likely, Gari za Tangabeach,Donge,Mikanjuni-Raskazone sa mbili na nusu zinaenda kulala, kadhalika na za kange ndio umeumia, Wadigo na wazigua kwenye biashara hawana haraka kabisa kukujibu sio riziki nenda kwingine, kawaida sana labda wasambaa,
Muulize huyo aliekupa ajiraWakuu habari zenu
Kazi nayofanya nimezunguka nimeishi miji kadhaa kila baada ya mwaka nahamishwa, kwa sasa nipo Njombe
mwaka huu nimefikia vigezo vya kupata kituo cha kudumu, nafasi zilizo wazi ni Singida mjini au Tanga mjini
Nitakohamia ndio maisha yangu rasmi yanakohamia pamoja na familia yangu.
Kati ya vigezo navyovitilia mkazo ni
mji uwe tulivu
Usalama wa mji
Huduma za maji na umeme
Ustaarabu wa watu
Upatikanaji wa vyakula salama kwa bei rafiki masokoni
Gharama za ujenzi (nataka kujenga nimechoka kupanga)
n.k.
Nenda Tanga kama unataka ustaarabu na utulivu,ila kama unapenda hekaheka na kuchafuliwa na vumbi nenda Singida,pia usiache kwenda na jiwe la kusugulia miguu...Wakuu habari zenu
Kazi nayofanya nimezunguka nimeishi miji kadhaa kila baada ya mwaka nahamishwa, kwa sasa nipo Njombe
mwaka huu nimefikia vigezo vya kupata kituo cha kudumu, nafasi zilizo wazi ni Singida mjini au Tanga mjini
Nitakohamia ndio maisha yangu rasmi yanakohamia pamoja na familia yangu.
Kati ya vigezo navyovitilia mkazo ni
mji uwe tulivu
Usalama wa mji
Huduma za maji na umeme
Ustaarabu wa watu
Upatikanaji wa vyakula salama kwa bei rafiki masokoni
Gharama za ujenzi (nataka kujenga nimechoka kupanga)
n.k.